In case uchumba unavunjika

In case uchumba unavunjika

hahahahhaaaaaaaaaaaaaaaaa
mkuuu umenichesha kweli kwani siku ya harusi akija kuharibu eti kwa kudai ana pete yako kwani pete ina alama gani mkuu?

alama ambayo inatambulika siku hiyo ni zile picha za harusi ambazo ulipiga kama ulikuwa umemuoa naye akakusaliti ktika ndoa na wewe kuoa mwingine hapo sasa akija tena kwenye harusi yako ya pili akisema msifungishe ndoa ni mume wangu hapo ndoa haifungiwi kunakuwa na vikao vya faragha na harusi inakuwa imekula donaa

Hapana lazima uchukue pete yako mimi ilitokea alinisaliti mbona nilichukua pete yangu,fikiria unafunga harusi na mtu mwingine halafu kwa nia ya kukuharibia akaja na kusema wewe ni mchumba wake na ushahidi ni pete yako si ataharibu sana.Hivyo uchumba ukivunjika chukua pete yako over
 
  • Thanks
Reactions: kui
Inategemea, baadhi ya wanaume hudai pete zao na wengine huamua kusahau. Mambo ya kudai vitu mlivyopeana ni mambo ya kishenzi.


 
Last edited by a moderator:
Aidai kwana yake tena alinipa na sio yake tena ni mali yangu coz ilikua katika vidole vyangu na sio vyake, kuniacha tuachane, kunioa asinioe pete nayo nimpe hahahah litakuwa kipoza roho changu nikipiga bei
 
  • Thanks
Reactions: kui
Ahsante sana Mkuu. Wanaume wenye msimamo kama wako ni nadra sana kuwapata katika dunia ya leo. Yaani mazuri yote unayasahau na kuamua kujenga uadui na hivyo kudai kila kilicho chako duh!!!

sichukui chochote toka kwa mwanamke mapenzi yanapokoma!hata akirudisha sipokei..atatafuta pa kuvitupa
 
Ahsante sana Mkuu. Wanaume wenye msimamo kama wako ni nadra sana kuwapata katika dunia ya leo. Yaani mazuri yote unayasahau na kuamua kujenga uadui na hivyo kudai kila kilicho chako duh!!!

mapenzi ya kudai ni yakizamani..tulikuwa tunadai hadi picha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom