In Arusha

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,091
Jamani watu wa Arusha niko hapa kwenu ila naondoka kesho alfajiri
 
Goldenrose ila naenda cafeteria naw kuna watu nakutana nao hapo
 
Goldenrose ila naenda cafeteria naw kuna watu nakutana nao hapo
Karibu Arusha lakini mitaa hiyo ukijipindua kidogo tu...... Karibu mkuu lakini umechelewa kutoa taarifa ningeorganise tuje tukujulie hali lakini next time mkuu.
 
bado naitafuta mantiki,ngoja nianze na swali..mbona taarifa kama hizi hukutoa wakati wa kwenda? Au msaada wa nauri unaitajika..?
 
mnh kimya kimya vip unaogopa onana na wana jf wenzio.................unaondoka na basi gani tukuibukie hapo hapo stendi mradi tupeane mkono wa kheeri tu
 
mnh kimya kimya vip unaogopa onana na wana jf wenzio.................unaondoka na basi gani tukuibukie hapo hapo stendi mradi tupeane mkono wa kheeri tu
Nimekuja na gari ya tours na naondoka nayo kesho tena kuna wageni walikuja huko kwetu tukawa tunawarudisha
 
Back
Top Bottom