Improve Your Vocabulary Mr young master kizungu chako kinabowa

Improving your vocabulary can come from incidental learning from context direct learning or a combination of a person like meThe best incidental learning comes from reading good books and associating with people who have a good spoken vocabulary and written vocabulary such as like me you little man

Another direct technique is to record definitions of new words in a notebook, which you review whenever you get spare time. You should try to learn at least one new word a day

Usijali Don't take it personal najaribu kukusaidia upate kujua kizungu

Kuna msemo mmoja ambao mwalimu ailikuwa anapenda kuutumia ambao unasema "Mtu akikwambia kitu cha kipumbavu na wewe una akili na ukakikubali hicho kitu cha kipumbavu basi bila shaka atakuona wewe ni mpumbavu" Mimi sio mpumbavu na wala siwezi kuukubali wala kuusikiliza upumbavu. Mimi ni mtu mwenye maadili na heshima zangu. Siko hapa kwa ajili ya kurumbana wala kugombana na wewe, niko hapa kwa ajili ya kukushauri tu na wala si vinginevyo kwa sababu siku zote samaki hukunjwa angali mbichi maana akisha kauka hakunjiki. Nimeamua kukushauri so that you can change your attitude before its too late. Mwenye mamlaka ya kuukubali na kuutekeleza huu ushauri niliokupa au kuukataa na kuudharau is in your hands and not mine. I played my part and now its your time to play yours. Think wisely and choose what you think is best for you but always remember this "Asiyesikia la mkuu, huvunjika guu and the bigger they are the harder they fall"
 
Your problem you claim to be educated
 
Jane,

Kujua English Sio sifa. Halafu hapa umemuabisha tu mwenzio. Kwani alikwambia
Amekuja hapa kujifunza English.? Kwanini
Hukumtumia PM umwambie hayo maneno? .

Si vema kumuanika mtu kiasi hiki .. hapo mwisho unasema asijali unata kumsaidia ajue kizungu .. Baada ya kumuanika Hivi Lohhh...
Uskute ndo umemkatisha tamaa ..

Na kingine hajakuomba uwe mwalimu wake kimbele mbele cha nini?

umelönga pregnant point!
 
Sijifanyi na hata ningejifanya mngenitambua tu kwani mtu aliyeelimika anaonekana hata kwa matendo yake. Siku zote chema chajiuza na kibaya kinajitembeza
nenda naye taratibu naona points zinamwingia tararibu,hata yeye mwenyewe anaelewa ile ndo hivo anajikaza kisabuni.
 
nenda naye taratibu naona points zinamwingia tararibu,hata yeye mwenyewe anaelewa ile ndo hivo anajikaza kisabuni.

Ataelewa tu mkuu. hapa hakuna kutukanana bali ni kuelimishana tu. This is JF bwana the home of great thinkers where we dare to talk openly
 
sikulaumu na shule yako ya kijijini

Unanifahamu hadi useme nimesoma kijijini? Kwani kusoma kijijini ndio kutamfanya mtu asiwe msomi??? Kuna wanganpi ambao wamesoma kijijini na sasa ni wasomi na wana nyadhifa kubwa hapa nchini? Mfano mdogo tu ni waziri mkuu ambaye ni mtoto wa mkulima.
 
Wadau wa JF. Jane haniabishi wala kunielimisha ila anachotafuta hapa ni kulipa kisasi baada ya kumueleza ukweli na kumshauri katika thread yake ya " Mtu akiwa mgumu kukutambulisha"

Kwa maelezo zadi tembeleeni thread yake hiyo ili muweze kupata picha kamili ya kile kilichotokea huko

https://www.jamiiforums.com/jf-chit-chat/228514-mtu-akiwa-mgumu-kukutambulisha.html

Mkuu, nimegundua kitu baada ya kuupitia huo uzi, sasa mwaweza kuendelea na nitawaelewa bila shaka.
 
Hivi huyu raia katokea wapi anayejiita jane triple zero. Ukiona mtu anajiita zero halafu anakazania kuongeza masufuri mawili na hivyo kuwa matatu anauwalakini kidogo. Anyway jane_000 sio kitendo kizuri cha kumpoint mtu direct
 
Back
Top Bottom