IMF yaiumbua serikali ya CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

IMF yaiumbua serikali ya CCM

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mchonga, Oct 28, 2010.

 1. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2010
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Shirika la fedha la kimataifa (IMF) limesema matumizi ya serikali ya Tanzania yamekuwa yakiongezeka kwenye mambo ambayo sio maendeleo ya kama vile kulipa mishahara.Akizungumza na jijini Dar es Salaam, mwakilishi wa IMF nchini Bw John Wakeman Linn amesema kuanzia mwaka 2007/2008 mapato ya ndani yalipungua kutoka 17% ya pato la taifa hadi chini ya 15% mwaka 2009/2010.Wakati pato la taifa likipungua, hali inaonyesha matumizi ya serikali yakliongezeka mwaka 2007/2008 toka 18% hadi 28% ya pato la taifa mwaka 2009/2010.Pia alisema tanzania imeendelea kukopa ZAIDI ili kugharamia matumizi haya ya uendeshaji!

  TUJIULIZE: Hizi fedha zinakwenda wapi,nani analipwa hii mishahara minono? Na je serikali ya CCM inasemaje kuhusu hili.

  JE NI KWANINI NCHI WAHISANI WALIPUNGUZA MSAADA WA KU FINANCE BUDGET YETU YA 2010-2011 KWA TAKRIBANI BILLION 300? NA SERIKALI IKAAMUA KUKOPA PESA KWENYE MABENKI YA NDANI?


  SORCE: Tanzania and the IMF -- Page 6 of 10
   
 2. K

  King kingo JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2010
  Joined: Sep 6, 2010
  Messages: 401
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mkuu haya maswali tumeshajiuliza sana na wala hamna majibu ya maana siku zote utapewa majibu mepesi mepesi tu yaliyojaa propaganda. Kama kweli tumechoka na haya mambo ni kuitumia nafasi tuliyonayo hapo tarehe 31/10/2010 kuondoa huu ubabaishaji.
   
 3. M

  MULANGIRA Member

  #3
  Oct 28, 2010
  Joined: Oct 10, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muhimu kusambaza habari hizi kwa wachaguaji ili Jumapili wafanye kweli. CCM kwa heri ukapumzike kuzimu.
   
Loading...