Siku zote huwa ninajua umeolewa...sababu ni aina ya threads ambazo umeshawahi kuweka hapa jamvini kabla
Umeua, humu mengi ni jinsi tunavyotamani kuwa na sio uhalisi. Nami nimeanza kuligundua hili kiasi kwamba siumizi kichwa sana kufikiria issue ya mtu. huwezi amini kwa Mpole sana hadi nilimuweka kwenye maombi, kumbe limtu lilikuwa linatafuta kujitangaza tu.
if u happen to believe in love u'll find the soul mate thing.
ha haaaa, noted rafiki, lol!Ndio maana mimi nina watu wangu ambao, yakinitinga nawaendea PM tu.
mimi pia unajua ninavyokupenda sana mdogo wanguDada mkubwa nakupenda sana!
According to FP this is what you seems to imply in this thread.
You separated before you got back together again.
Though mie bado na-assume ni ule mtoko wa Pasaka. lol.
rafiki EMThiyo umesema weye na FP kwa mitizamo yenu mbalimbali, me am sinking on top of the world my so called soul-mate enjoying the malavidavi.................:A S-heart-2::A S-heart-2:
Hata mimi nilidhani hivo..au ndo tunazeeka watu8!? tunasahau sahau mambo
FP mie nina wasiwasi na sakapal. Huyu kama vile ni experienced member ages ago.
Vingenevyo atakuwa anawaingiza chaka na threads zake.
Ina maana kesha divorce? Rejea threads zake za nyuma.
Ipo moja ya jirani kuomba lift kwenye kibabaji chake na mumewe mpaka kumnyima raha ya kuongea na mumewe.
Kwa hiyo sasa watakuwa watatu au wanne kwenye kile kibabaji chao?
Kama ni hivyo, namwonea huruma yule jirani aliyekuwa akiwaomba lift kila asubuhi unless awe ni yeye anayesifiwa kwenye huu uzi.
Pia rejea thread yake ya kutaka ushauri wa kumfanyia mumewe surprise siku ya birthday yake.
Pia atamfanyia birthday surprise huyu mpya kama alivyotaka kumfanyia mume wake?
I mean kumchukua kazini jioni na kumpeleka restaurant wakapate dinner for two or probably itakuwa for three now?
Halafu abook hotel (not guest house) wakalale huko (threesome?) baada ya kupata dinner na kuamkia hapo next day, wapate break fast then awapeleke job?
NAJUA YUKO SERIOUS MATANI NIACHE KWANI ANA MUDA MCHACHE WA KUFANYA HAYA.
cc. BAK, Paloma, Mentor, Roulette, Mwanaweja, SURUMA, Kipipi, Blue G waliompa likes
Asante sana kwa upendo wako, naomba endelea kupenda watu na mimi nisiwe sababu yakukupunguzia jinsi unavyo jali wengine , nisamehe , ila kikweli nilivumilai nikashindwa.Umeua, humu mengi ni jinsi tunavyotamani kuwa na sio uhalisi. Nami nimeanza kuligundua hili kiasi kwamba siumizi kichwa sana kufikiria issue ya mtu. huwezi amini kwa Mpole sana hadi nilimuweka kwenye maombi, kumbe limtu lilikuwa linatafuta kujitangaza tu.
safari sound band - mpenzi - YouTube
message received and sent to EMT and @FP, maneno ya wimbo huu ndo ninachoki- experience now.
What I know is that am in love with my soul mate........:A S-heart-2:
sing with me pls, lalalalalala, lalallaalalalalaah, lalalalaaaah!!
Kumbe ni sakapal huyu huyu? Ndio maana napenda JF!FP mie nina wasiwasi na sakapal. Huyu kama vile ni experienced member ages ago.
Vingenevyo atakuwa anawaingiza chaka na threads zake.
Ina maana kesha divorce? Rejea threads zake za nyuma.
Ipo moja ya jirani kuomba lift kwenye kibabaji chake na mumewe mpaka kumnyima raha ya kuongea na mumewe.
Kwa hiyo sasa watakuwa watatu au wanne kwenye kile kibabaji chao?
Kama ni hivyo, namwonea huruma yule jirani aliyekuwa akiwaomba lift kila asubuhi unless awe ni yeye anayesifiwa kwenye huu uzi.
Pia rejea thread yake ya kutaka ushauri wa kumfanyia mumewe surprise siku ya birthday yake.
Pia atamfanyia birthday surprise huyu mpya kama alivyotaka kumfanyia mume wake?
I mean kumchukua kazini jioni na kumpeleka restaurant wakapate dinner for two or probably itakuwa for three now?
Halafu abook hotel (not guest house) wakalale huko (threesome?) baada ya kupata dinner na kuamkia hapo next day, wapate break fast then awapeleke job?
NAJUA YUKO SERIOUS MATANI NIACHE KWANI ANA MUDA MCHACHE WA KUFANYA HAYA.
cc. BAK, Paloma, Mentor, Roulette, Mwanaweja, SURUMA, Kipipi, Blue G waliompa likes
wewe wasema mie nawik wik tuu hewani navuta upepo mwanana wa soul mate.........:A S-heart-2:Concept nzima ya "soul mate" inatumiwa ili kuhalalisha talaka.
Kwamba mambo yakienda mrama basi hakuwa "soul mate" wako kwa hiyo bora umpe talaka ili uendelee kutafuta "soul mate".
mwendhio nilishaamua kujilipua tu kwake!lol!aiseeeee!!!!! honestly nimechoka kuku admire secretly! Salute mkuu!
Nakumbuka watu tulijipinda hapa kutoa maushauri ya kumpa mumewe masuprasi kumbe tunapoteza muda.
Ndo maana siku hizi niko very caution kutoa ushauri kwenye hili jukwaa.
Majority ya stories ni za kutunga au ni fantasies za watu; they wish wafanye au wafanyie but they can't.
cc nyumba kubwa, King'asti Kaunga