Imetokea kweli, japo bado siamini...

Imetokea kweli, japo bado siamini...

ungekuwa unanitonya basi rafiki......
nini tunaacha tunaumiza vidole kwa makitu yasiyo halisi?
ila ukiona nalia ujue ya ukweli rafiki, uwe unanipa ushauri, sawa?
cc. EMT

Mie nilidhani mnajua na mnapenda kuchangia hizo stories.
 
Generali Ulimwengu alishawahi kuandika kuwa usahaulifu ni silaha ya mwonevu.

Kwa hiyo, kama kusahau ni ugonjwa wako, utakuwa unaonewa sana.

Aisee nitakuwa nakuja kukopa kwako kila mara.

Siwezi kusema nina memory ya kukumbuka kila kitu.

Kuna mambo mengi sana yanatokea kila siku ambayo ni vigumu kuyakumbuka yote.

It is OK kusahau. Lakini ukisahahu too much inaweza kuwa ni ugonjwa aka dementia

Kuna sababu mbalimbali zinazosababisha tusahau mambo mapema.

Lakini nafikiri sie tunaongoza kwa "motivated forgeting". lol.
umeshachelewa rafiki, zama zangu za kuonewa zilishapita...
siku hizi nina bonge la daftari, nalipitia kila siku kabla ya kulala, lol!
 
Mie nilidhani mnajua na mnapenda kuchangia hizo stories.
kuna stories ambazo huwa naziona kuwa ni fix huwa na mimi nachangia kifix,
ila kuna ambayo unaona ni real huwezi leta mzaha kwenye kutoa ushauri....
inauma inapoonekana umepoteza nguvu zako kumbe ulikuwa unapigwa fix, lol!
 
umeshachelewa rafiki, zama zangu za kuonewa zilishapita...
siku hizi nina bonge la daftari, nalipitia kila siku kabla ya kulala, lol!

Good way of remembering.

Naushauri akina sakapal wawe na daftari la kuandika threads zao kuepuka kudanganya au wasisahau walichodanganya. lol
 
Last edited by a moderator:
Good way of remembering.

Naushauri akina sakapal wawe na daftari la kuandika threads zao kuepuka kudanganya au wasisahau walichodanganya. lol
amesikia rafiki......
siku nyingine atatuambia kuwa hii ya rafiki na hii yangu......
 
  • Thanks
Reactions: EMT
amesikia rafiki......
siku nyingine atatuambia kuwa hii ya rafiki na hii yangu......

....waiting for his/her next thread.

But najiuliza why a person like sakapal would do this?

I will never know, but hii thread yake nyingine, sujui atakubali kujitokeza kwenye hiyo JF party?

It will be interesting to meet sakapal. lol

Hivi ikitokea kukawa na party ya wana jamii forum au mkutano utakaojumuisha wanajamii forum wote wanaochat na kuchangia mada mbalimbali humu jamvini tukaonana uso kwa uso na kuchangia hizi mada live itakuwaje? Navuta hisia sipati picha nikisalimiana na uporoto, nikicheka na kugonga na lizzy au nikichangia mada aliyoianzisha king'asti.
Wewe kama mwana jukwaa la jamii forum unafikiri kwenye hiyo part/mkutano watu wataanzisha mada kama hivi wanavoandika? Na pia watachangia na kutoa majibu kama haya wanayoandika? Unaweza fikiri umri utakuwa kuanzia rika lipi? Wazee, vijana, wanene, wafupi ...

Karibu uweke mawazo unayofikiri party ya jf itakavokuwa.
 
Ni jana tu my soulmate alipotimiza ahadi yake aliyokuwa akiniambia all days, this love, this love....:A S-heart-2:
Kuweni Makini hapa mujinii wengi walaghaiiiiiii!!! Mapenzi ya mujini yamekuwa biziness wake kwa waume wote wana wekness
 
....waiting for his/her next thread.

But najiuliza why a person like sakapal would do this?

I will never know, but hii thread yake nyingine, sujui atakubali kujitokeza kwenye hiyo JF party?

It will be interesting to meet sakapal. lol
ha haaa, rafiki sakapal leo unalo kwa rafiki yangu EMT....
umemfanya akapekuwe nyuzi zako zilizopita ili atoe maoni, lol!
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: EMT
Mentor, thanks sijisifii ila nashukuru kutambua kuwa am smart.
It ddnt happen in a day it was a long way till yesterday 12th of this April then I came to realise its realy soul mate. Our journey was full of ups and down and disappointments sometimes, but now we are at the peak of a mountain, we had the same flag.

Thanks for ur nice words and just wish me luck ahead..........

....waiting for his/her next thread.

But najiuliza why a person like sakapal would do this?

I will never know, but hii thread yake nyingine, sujui atakubali kujitokeza kwenye hiyo JF party?

It will be interesting to meet sakapal. lol
EMT, hii post yako imenifanya nikasome post nyingine nyingi za sakapal.....
hapo kama nimempata vizuri nadhani hiyo ni new love kwa yule yule wa zamani........
kule kuomba ushauri labda kumesaidia kuinua penzi mpaka kufika hapa:yo:
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom