Imetimia wiki sijapiga punyeto

Kijana una moyo wa kibabe. Big up tupe ahaji ya siku 30
 
Katibu ana taarifa zako?
Au umeacha wajibu wako wa msingi wa kikatiba kwa chama bila taarifa ya kimaandishi kwa katibu muenezi?
TAFADHALI FUATA UTARATIBU.

-Imetolewa na Ofisi ya Maadili, CHAPUTA.
Asije akarudi baadae kama yule mwenyekiti wa chama flani cja siasa???
 
Hahahaha umenichekesha mzee wa chaputa..nakushaur oa
 
Ukitaka uache kabisa usithubutu kukaa pekeyako mda mwing jichanganye na wadau
 
umefanya kosa kubwa sana mkuu....unaachaje kizembe namna hivyo??.....gharama za kurudi utazijutia.....
 
Mungu akusaidie mkuu, jiepushe sn kukaa peke yko jaribu kujiweka busy itakusaidia sn
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…