Elections 2015 Imethibitishwa pasi na shaka kuwa ni kweli kabisa, Zanzibar, Maalim Seif na CUF ndio walioshinda

Kwa hiyo Limbu ni uthibitisho usio na shaka? Segerea madiwani wengi ni UKAWA lakini mbunge CCM. Tanga madiwani UKAWA lakini meya CCM. Halafu mnatumia logic hiyo? Uthibitisho USIO SHAKA utatolewa na TUME YA UCHAGUZI PEKEE. Wengine wote ni guess work.
CCM WAMELAZIMISHA KWA KUTUMIA WAKURUGENZI KUTANGAZA MATOKEO AMBAYO NI YA KUGUSHI. UNATAKA KUSEMA KWAMBA TANGA CCM WALISHINDA KWA HALALI UMEYA? MBONA UTAKUWA NA UFAHAMU MDOGO UNAJUA KILICHOFANYIKA TANGA NI KULAZIMISHA HALAFU UNATOLEA MFANO? UNASHANGAZA SANA
 
Mkuu VIVIANET,
Hawa wengine unadhani hawajui kinachoendelea au ni ushabiki mandazi tu?

Wanacheza na AMANI tuliyopewa na MUNGU, sasa tuombe umri na afya yafike hayo wanayoyataka.

Upuuzi wote unaoharwa na wajinga wachache kama sio wengi wao wataushuhudia.
 
Hizo rafu hazikuhusika na kura za wabunge?
 
Ikiwa wabunge na Rais wa muungano kura safi na aliyechagua ni yule yule sasa iweje kwa Zanzibar kuwe na bao la mkono?
 
 

Attachments

  • 1453575079751.jpg
    20.2 KB · Views: 63
  • 1453575130921.jpg
    37.8 KB · Views: 64
  • 1453575152365.jpg
    41.1 KB · Views: 65
  • 1453575171533.jpg
    35.9 KB · Views: 58
  • 1453575189781.jpg
    40.5 KB · Views: 64
SASA NINI KINAWASUKUMA SAFARI HII KUTAKA UCHAGUZI URUDIWE KAMA WALIWEZA KUKATAA 2000? MBONA WANAKUWA WASAHULIFU?
Ni kutaka kuhalalisha ung'anganizi wa madaraka tu. Tayari inajulikana ni nani Jecha atamtangaza "mshindi". Wanayofanya ni maigizo na usanii kwenda mbele.

25.10.2015 CCM walipigwa vibaya sana, mwenyekiti wa ZEC na CCM walichanganyikiwa, wasingeweza kumtangaza "mshindi wao" kwa sababu Seif aliwawahi, aliwaambia tayari anazo fomu za matokeo zinazotoka majimboni na zinaonesha ameshinda.

Plan B, tuma jeshi na polisi ili kutengeneza mkwamo. Hiyo ndio ZEC ,Tume "huru" ya uchaguzi na CCM wang'anganizi wa madaraka.

Uzuri ni kuwa tukio hili la mara hii limewahabarisha watanzania wote uhalisia wa CCM kukwapua ushindi wa Seif kwa mara ya 5 na pia kuithibitishia dunia kuwa Tanzania ni nchi ya DOMO-krasia ambayo Uchaguzi ni maigizo tu na serikali/nchi haitolewi kwa vikaratasi.

Mfalme anatembea bila nguo.

Ile studio aliyotumia Jecha kurekodia Taarifa ya uchaguzi wa marudio iko wapi?
 
SASA KITU GANI KILIWASHINDA ZEC KUTANGAZA KAMA WANAO USHINDI HALANI WA SHEIN? KAMA KWELI SEIF HAKUSHINDA WAMTANGAZE SHEIN..UKWELI UNAJULIKANA KUWA CCM WAMESHINDWA NA WANATUMIA VYOMBO VYA DOLA VIBAYA KUTAKA KUVURUGA NCHI CCM OGOPENI KUSABABISHA MACHAFUKO
 
Mkuu nguruvi ni hivi ....ooh mwenyekiti wa tume alikuwa hana mamlaka......ooh shein sio raisi wa zanzibar.ooh wamevunja katiba kusema uchaguzi urudiwe .sasa kwanini cuf/ukawa hawajaenda mahakamani???
 
Mkuu nguruvi ni hivi ....ooh mwenyekiti wa tume alikuwa hana mamlaka......ooh shein sio raisi wa zanzibar.ooh wamevunja katiba kusema uchaguzi urudiwe .sasa kwanini cuf/ukawa hawajaenda mahakamani???
Swali langu lipo pale pale, hebu niambie hoja moja tu ya CUF kwenda mahakamani.

Pili, TUME YA UCHAGUZI haikuwa kufuta uchaguzi. Narudia tume haikuwahi kufuta uchaguzi
 
Mkuu nguruvi ni hivi ....ooh mwenyekiti wa tume alikuwa hana mamlaka......ooh shein sio raisi wa zanzibar.ooh wamevunja katiba kusema uchaguzi urudiwe .sasa kwanini cuf/ukawa hawajaenda mahakamani???

Swali langu lipo pale pale, hebu niambie hoja moja tu ya CUF kwenda mahakamani.

Pili, TUME YA UCHAGUZI haikuwa kufuta uchaguzi. Narudia tume haikuwahi kufuta uchaguzi
Nilisikia wameenda kushitaki kwa papa!
 
Salimini Amour alimshinda Seif kwa kura moja !
 
Sasa wewe unapingana na Lubuva aliyesema hizo kura hazina dosari na zinasimamiwa na NEC na siyo ZEC na hata kidole cha kupaka rangi ni tofauti?

Bure kabisa weeewe...........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…