CCM WAMELAZIMISHA KWA KUTUMIA WAKURUGENZI KUTANGAZA MATOKEO AMBAYO NI YA KUGUSHI. UNATAKA KUSEMA KWAMBA TANGA CCM WALISHINDA KWA HALALI UMEYA? MBONA UTAKUWA NA UFAHAMU MDOGO UNAJUA KILICHOFANYIKA TANGA NI KULAZIMISHA HALAFU UNATOLEA MFANO? UNASHANGAZA SANAKwa hiyo Limbu ni uthibitisho usio na shaka? Segerea madiwani wengi ni UKAWA lakini mbunge CCM. Tanga madiwani UKAWA lakini meya CCM. Halafu mnatumia logic hiyo? Uthibitisho USIO SHAKA utatolewa na TUME YA UCHAGUZI PEKEE. Wengine wote ni guess work.