Imethibitishwa! Dereva hana makosa

Imethibitishwa! Dereva hana makosa

Shemeji mshana jr [emoji28] [emoji28] [emoji28] kuja hapa upesi, asehhh kumbe kijana wangu mshana hayupo mbali na fursa....
Hii ni ndoa pekee iliyodumu JF pamoja na mapito yote lakini tumeweza kusimama imara na mizizi ya malovee kuzidi kujikita mbali zaidi
 
Mamito niwie radhi bure sikuwa hewani ukimpelekea vipitie kwangu kwanza niviwekee ulinzi [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ili uniroge nani asiye kujuwa mzee kalimanzila, urojo, tende ntavifuata mwenyeee [emoji23] [emoji23]
 
Hii ni ndoa pekee iliyodumu JF pamoja na mapito yote lakini tumeweza kusimama imara na mizizi ya malovee kuzidi kujikita mbali zaidi
Hahaha NDOA imedumu kwa kuwa anaogopa usije mnatisha huko akichepuka mzee kalimanzila
 
Back
Top Bottom