Exactly, Taifa hili lina potenshol... yaani vipaji na wenye lugha taamu... wish tuunde club ofHahahahahaaaa
Kumbe hujamjua Kasie kinagaubaga eeh....
Wajua huwa nasimulia nini..... The guy I met.... The office mate..... challenges I met..... crushes o road and club and sort of things.
Hizo za madongo kupanda na kuinuka kukoje siwezi.
Ila ukiniambia nielezee nimekutana na vibamia vya aina gani na game yao ikoje aah nakubwagia kama uji fastaa mshindwe kusoma au kusikiliza tuu maana maelezo yanakuwaga marefuuuu
Kasie.
Exactly, Taifa hili lina potenshol... yaani vipaji na wenye lugha taamu... wish tuunde club of
Sweet & sorrow ... Vijana wafaidike na kujifunza thru experience za wengine!!
Kessy go Kessy mwaga viyoja kwa wasaa ulonao....
Exactly, Taifa hili lina potenshol... yaani vipaji na wenye lugha taamu... wish tuunde club of
Sweet & sorrow ... Vijana wafaidike na kujifunza thru experience za wengine!!
Kessy go Kessy mwaga viyoja kwa wasaa ulonao....
Kwanza shukran kwa sahihisho... hiyo club multiCULTURE, Leader wetu wa mpito ni Kasinde hadi uchaguzi mkuu....Colored word ni vihoja not viyoja,
hiyo club itakuwa balaa
'Noma sana'Colored word ni vihoja not viyoja,
hiyo club itakuwa balaa
Hahahahaaaa as a transit leader just give me proposals of the project, once approved everyone will participate in making the club.Kwanza shukran kwa sahihisho... hiyo club multiCULTURE, Leader wetu wa mpito ni Kasinde hadi uchaguzi mkuu....
Hapo sasa !! ntakutumia roadmap tukiifanikisha ntataka change mapema !!😛😛😛Hahahahaaaa as a transit leader just give me proposals of the project, once approved everyone will participate in making the club.
All the best.
Ha ha haaaa...Colored word ni vihoja not viyoja,
hiyo club itakuwa balaa
OMG !! sasa hata sijui nimfuate nani.. mnaniyumbisha !! (Viroja/vihoja/viyoja au......) toxic9Ha ha haaaa...
Ni viroja sio vihoja
Sawa mwalimu, umetishaHa ha haaaa...
Ni viroja sio vihoja
teh teh teh sasa tunategemea kuanzisha club.... Hebu jichagulie nyadhifa unayo fiti maana unaoneka unafaaMie mwalimu wa kusomea haswa na uzoefu wa kutosha. Tena mswahili Muunguja.Sawa mwalimu, umetisha![]()
teh teh teh sasa tunategemea kuanzisha club.... Hebu jichagulie nyadhifa unayo fiti maana unaoneka unafaa
Hahahaha huyo mswahili muunguja ndo wale wala tende na urojo.....napenda urojo yaheee nitumie basiMie mwalimu wa kusomea haswa na uzoefu wa kutosha. Tena mswahili Muunguja.