Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 14,971
- 21,066
Una umri gani wa kuweza kumshitua huyo mchepuko wako kukuona wewe hauwezi kumiliki mke?Umeenda Nyumba ya Kulala Wageni mgeni wako (Mchepuko) Umeshatangulia uko room no 103 kufika jamaa wa mapokezi anakufahamu vizuri anakuuliza Mkeo/Mumeo hawajambo? Mtoto nae?![]()
Niambie ungefanyaje? View attachment 829423
Je huyo mchepuko wako unapoenda naye 'gesti' kisha ukaelewa kuwa ni mke wa mtu kwa kupitia maswali ya mhudumu, utaahirisha 'zoezi' kwa kuwa umeuelewa ukweli?
Je katika kutafuta mchepuko, ukimpata huwa unamuuliza kama ameolewa ama lah?
