makedonia
JF-Expert Member
- Nov 17, 2014
- 4,371
- 3,670
Ukigundua limetoa uroda lirudishe kwao tu.....kwisha.Rafiki yangu leo kanionesha sms kutoka kwa mke wa jirani yetu anamwambia mume wangu analazimisha tusex ila mimi sitaki nataka kuonana na kusex na wewe kwa jinsi ninavyokupenda.
Nikamuuliza kama wapo kwenye mahusiano akaniambia alishatembea nae zaidi ya maramoja na wote ni majirani. Wanawake tuishi nao kwa akili kwakweli