Imeniuma sana, Wanawake ni viumbe hatari kwakweli

Imeniuma sana, Wanawake ni viumbe hatari kwakweli

Ila sio kwa ukubwa huu unaotengenezwa sasa Mkuu.
Kwa mwanaume ukiwa hauna ndoa unakua na amani sna ,hata kama unaishi na mwanamke , ila ukishaingia ni mshike mshike ndege tunduni
JamiiForums-717435687_369x207.jpeg
 
Yaani acha tu mdogo wangu.

Imefikia hatua mtu akipata kihabari chake tu ilimradi kinamchafua mwanamke na taasisi nzima ya ndoa basi wao mbio kukaleta.

Kwa namna hii ushindi kwao ni lazima.
Uzuri ni kwamba kwa ground watu wanafunga ndoa kila siku na zinazodumu tunaziona.. Hizi changamoto zipo hatukatai lakini kwa jinsi zinavyopigiwa promo humu ndani inaogopesha
 
Uzuri ni kwamba kwa ground watu wanafunga ndoa kila siku na zinazodumu tunaziona.. Hizi changamoto zipo hatukatai lakini kwa jinsi zinavyopigiwa promo humu ndani inaogopesha
Ahhhhh weweeeee 🙄 zinazodumu umeonea wap wewe toto ya juzi 😁😁
 
Uzuri ni kwamba kwa ground watu wanafunga ndoa kila siku na zinazodumu tunaziona.. Hizi changamoto zipo hatukatai lakini kwa jinsi zinavyopigiwa promo humu ndani inaogopesha
Kweli kabisa na hata ndoa zenye furaha zipo nyingi tu.

Ifikie hatua hawa kataa ndoa waangalie namna ya kujipromote lakini sio kwa kutumia madhaifu ya wanawake ambapo saa nyingine kiuhalisia hata hayapo kwa ukubwa huu tunaouona humu jf.
 
Asa watu wanaishi pamoja hadi watoto wanaingia sekondari utasema hawajadumu kweli?
Mtu gani wewe ulimwona kaoa ,kapata mtoto ,mpka mtoto kafika sekondari kwa kizazi hiki wewe toto😜😜😜
 
Kweli kabisa na hata ndoa zenye furaha zipo nyingi tu.

Ifikie hatua hawa kataa ndoa waangalie namna ya kujipromote lakini sio kwa kutumia madhaifu ya wanawake ambapo saa nyingine kiuhalisia hata hayapo kwa ukubwa huu tunaouona humu jf.
And that’s it👊👊
 
Wanawake hawa Mungu tu atupe uvumilivu sana.Mm na miti ya miembe nyumbani kwangu ya kutosha sasa mara nyingi watu hua wanakuja kununua siku hiyo mke wa jirani kaja kununua maembe alikua kavaa sketi na tshirt akajifunga na kitenge mm nikawa namtugulia yy anaokota.. ebwana alikua akiinama mishanga inaonekana harafu akajua kabisa shanga ziko nje lakini akawa anafanya maksudi puuzi kabisa.
 
Back
Top Bottom