Imeniuma sana, Wanawake ni viumbe hatari kwakweli

Imeniuma sana, Wanawake ni viumbe hatari kwakweli

Kama namuona mgegedaji wa mke wa mtu naye akigegedwa bila wese na akiugulia maumivu.Amekaa kwenye will chair akisukumwa na ndugu yake kuelekea MOI hospital kutibiwa mifupa iliyo vunjwa kwa kukutwa na mke wa mtu.
Hata kama una nguvu vipi malizia au onyesha umwamba wako kwa mwanamke asiye mke wa mtu.
 
Rafiki yangu leo kanionesha sms kutoka kwa mke wa jirani yetu anamwambia mume wangu analazimisha tusex ila mimi sitaki nataka kuonana na kusex na wewe kwa jinsi ninavyokupenda.

Nikamuuliza kama wapo kwenye mahusiano akaniambia alishatembea nae zaidi ya maramoja na wote ni majirani. Wanawake tuishi nao kwa akili kwakweli

Sasa unamshangaa mwanamke na kuacha kumshangaa jirani yako pia...
 
Nilikuwa naye mmoja mumewe mtu wa masafa marefu,Jamaa akipiga simu, ananiambia tulia kwanza niongee na huyu Fala,hapo kaikalia.
Namshukuru Mungu niko salama,na staki tena Mke wa mtu.
Wakati kaikalia nae akikuambia tulia na wewe unatulia kweli?
 
Hata wanaume tuishi nao tu kwa akili pia mdada anapigwa tukio mpaka hisia zinakata
 
Haya maneno wanawake ni viumbe hatari , ndio yanafanya vijana legelege kuwa mchicha mwiba kwa hofu ya kuogopa wanawake, sasa mwanamke ana hatari gani bro[emoji848][emoji848][emoji848]
uoga wako ndio umaskini wako 🐒
 
Haya ni mambo ambayo yapo na kwa namna mzunguko wa maisha ya binadamu ulivyo saa nyingine haiwezekani yasitokee hata, ila kwa kuwa mna kampeni yenu ya kataa ndoa ndio sababu mkikutana na jambo tu basi mnalishadadia iliradi tu ionekane walioko kwenye ndoa wamekosea njia.

Saa ingine mnaongeza hadi chumvi ilimradi tu kataa ndoa mjinyakulie points. Lol.
 
Japo upo sahihi ila ndoa ni tatizo kubwa sna kwa sasa.
 
kama Kataa ndoa wasiposhinda uchaguzi mkuu basi uchawi upo, sio kwa points hizi wanazojinyakulia bure bure
Yaani acha tu mdogo wangu.

Imefikia hatua mtu akipata kihabari chake tu ilimradi kinamchafua mwanamke na taasisi nzima ya ndoa basi wao mbio kukaleta.

Kwa namna hii ushindi kwao ni lazima.
 
Back
Top Bottom