Imeniuma sana na imenickitisha sana... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Imeniuma sana na imenickitisha sana...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Oct 3, 2011.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  Wadau hawa loans board mwaka huu cjui vp!!leo katka pita pita zangu hapa main cumpus ya udsm,nkabahatka kukutana na dogo flani hvi ambae ni 1st year,anatokea shinyanga,kilicho nifanya nimsemeshe ni hali ambayo nimemuona nayo,yan,ana huzuni na anaonekana ni m2 ambae amekata tamaa hata ya kuishi,huyu dogo amemalza kidato cha 6 mwaka huu pale galanos sec school-tanga,na ana dvision 1.7 amechaguliwa kusoma bsc with geology hapa ud,lakn cha kushangaza kama co cha kuckitsha,eti loans board wamemuambia ni previous loanee,yan ameishaga wahi pewa mkopo na wkt ndo kamalza 4m 6 mwaka huu,katka kumdadc dogo,nkagundua ni mmoja wa vijana toka familia za kimaskin sana,kanambia amefka dar tangu ijumaa lakn tangu amefka mambo hayaelewek,ye mwenyewe mbali na nauli alyokuwa nayo alikua na laki 1 na 20 ya kufanyia regstration,hapo hajalipa cost zngne za chuo na ada maana hana bumu...hana pa kulala,wel, kwa sababu me nna rum kitaa nimeamua kumsave,atalala na atakula bt mstakabali wake wa registration ndo ngoma,as anatakiwa kulipa nusu ya ada ndo aweze kusajiliwa...jaman hvi loans board wako seriouz na kazi kweli au vp maana wa2 kama hawa ndo walitakiwa kupewa vipaumbele??
   
 2. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #2
  Oct 3, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Mkuu hii serikali yetu migomo wanaitaka wenyewe nakuhakikisha kama serikali kupitia heslb na moe awajatatua hili suala hili mapema migomo itaanza mwanzoni mwasemester . Na hii migomo chanzo cha ni serikali ,mwaka huu sijui ...
   
 3. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #3
  Oct 3, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,102
  Likes Received: 22,142
  Trophy Points: 280
  Hufai kupewa mkopo wa Chuo Kikuu, hata kuandika hujui. Rudi sekondari.
   
 4. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #4
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  senetor baada ya kumsikiliza ulichukua hatua gani?
   
 5. u

  utantambua JF-Expert Member

  #5
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Dogo hatasoma kwa sababu ya "sera nzuri za magamba"
   
 6. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #6
  Oct 3, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  kwanini ummwambia ivyo mwenzio?

  yaan ulichokiona ni kuandika vbaya lakin ujumbe pia aujaupata au?
  dah R.I.P sister.
   
 7. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #7
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  mimi ni mwanafunz ka yeye,cha kumsaidia nimemkaribsha gheto kwe2 ambapo kwa sasa ana uhakika wa kula na kulala.
   
 8. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #8
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  wewe uliepewa,umefanya nin cha maana kwa watanzania...??
   
 9. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #9
  Oct 3, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,808
  Likes Received: 524
  Trophy Points: 280
  na kulaliwa, Dsm hamna cha bure
   
 10. themagainst

  themagainst Member

  #10
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  hivyo hivyo m2 wangu,tusaidiane.....tuwe wavumilivu tu...the day will come.....ccm itabaki historia,sisi wanafunzi tunateseka sana.
   
 11. themagainst

  themagainst Member

  #11
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  unahitaji msaada wa kisaikolojia
   
 12. S

  Sting007 JF-Expert Member

  #12
  Oct 3, 2011
  Joined: Jul 27, 2011
  Messages: 275
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Haya ndo matokeo ya Maisha Bora kwa Kila Mtanzania, Nampa pole sana huyo Chalii yangu, Lakini bado nitaendelea kuiasa jamii hii ya Kitanzania sababu makosa tunayo sisi Watanzania&nbsp; wenyewe, Sera zinazotuongoza katika Nchi hii na kutekelezwa na viongozi tuliowachagua sisi wenyewe ndizo zinazotuletea Matatizo haya na bado tunawalea viongozi hawa. Nawaombeni Ndugu zangu, tuamke kudai haki zetu na kupewa mahitaji muhimu, tumechoka Kumsingizia Mungu kwa kila Jambo, Wakati Matatizo tunayasababisha sisi wenyewe tukiwa tunaishi katika Nchi yenye Kila aina ya Rasilimali aliyotupa Mungu.<br>Watanzania TUAMKE- We need Changes. <br>Pole sana kwa Bro kwa kumpa tafu Dogo. Big Up
   
 13. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #13
  Oct 3, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  Acha waendelee kuwakopesha akina riz 1 wife..na vigogo wengine...sikuzao zinahesabika
   
 14. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #14
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  uandishi wako mbovu. Nimeshakukanya mara nyingi. Hivi chuo si mnasoma "communication skills"! Mmefundishwa upuuzi huu.
   
 15. Likwanda

  Likwanda JF-Expert Member

  #15
  Oct 3, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 3,854
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Dah, Mkuu Mungu akuongezee sana. kuhusu suala la mkopo mwambie asikate tamaa apigane mwanzo mwisho naamini atafanikiwa kwa uwezo wa M/Mungu.
   
 16. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #16
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  we mzee cjui ni shoga au bwabwa!!
   
 17. P

  Peter lilayon Member

  #17
  Oct 3, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Watu weningine wanaboa, we mzee kuwa mwanangu
   
 18. S

  Spellan JF-Expert Member

  #18
  Oct 3, 2011
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 309
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  senetor,, huyu anayejiita mzee,,, bure sana!
   
 19. s

  stan b Member

  #19
  Oct 3, 2011
  Joined: Sep 8, 2011
  Messages: 85
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  hafai kabisa huyo jamaa, sijui huwa anatumwa?
   
 20. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #20
  Oct 3, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  jamaa linaboa sana yan,halijawah changia k2 cha maana humu jf zaidi ya kuponda 2.
   
Loading...