Comi
JF-Expert Member
- Oct 2, 2011
- 3,328
- 958
Yaani hapo baada ya hilo jibu ni kunawa mikono na kugeukaHeee mke anakujibu utumbo huo na bado una negotiate.. Mtwange talaka 3
Yaani hapo baada ya hilo jibu ni kunawa mikono na kugeukaHeee mke anakujibu utumbo huo na bado una negotiate.. Mtwange talaka 3
Mahari sio chanzo cha mke kukudharau. Chukua mtoto peleka bording school, nitafute pm nikupeleke usukumani ukaoe kwenye familia zenye maadili lakini kwa sharti moja, usiangalie elimu ya mwanamke kama kigezo cha mke bora maana mie mwanamke anayejiita msomi sitaki hata kumuona around ma dck na kama akili hiyo ya kuoa mke msomi imekukaa bichwani mwako basi katafute mwingine CBE
Ukiogopa kuvunja ndoa ama kufukuza mwanamke mwenye tabia kama huyu basi jiandae kunyweshwa sumu ama maradhi.Kusuluhisha matatizo ni jambo la busara zaidi, lakini kitu kinapozidi kipimo, usuluhishi unawekwa pembeni na kufuatiwa na maamuzi magumu
Sikia nikuambie kitu hapo hakuna haja ya kufikiria saaana,,ni hivi mpaka anatembea na baba yake mdogo na mpaka anakujibu utumbo namna hiyo ujue huyo sio mke tena huyo ni kahaba msomi,,cha msingi wewe achana nae na maisha yaendelee utaumia kwa muda tu alafu utakuja kumsahau ishi maisha yako maisha yenyewe mafupiWanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.
In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).
Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.
Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.
Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.
Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.
Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.
Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.
Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.
Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."
Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.
Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.
Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.
Asanteni
Plan yangu ilikua baada ya kumaliza chuo tufunge ndoa baada ya chuo ndio nikaanza kuona changes kiasi zikanipunguza kasi ya kutoa mahari maana njia zake zilianza kunipa shakaHuyo muache haikua riziki. Ila brother swala kumsomesha na kusaidia family yake usiliseme tena, i dont believe ulikua unafanya ili iwe sababu ya kua na wewe .Msaada hautangazwi. Pili muda wooote umekaa na huyu mwanamke, hujamuoa kwanini? Unajua that shows lack of seriousness kwenye mahusiano yenu, na ndo maana imefika saa pembe zimemuota maana hana kidhibiti mwendo. If i were you ningemuacha nibaki na mwanangu tu. Pole Bro
Nani atakayemlea, maana kila mmoja atahitaji kuishi naye na unajua tena malezi ya baadhi ya wazazi wa kamboSasa hapo mtoto kahusikaje mpaka apelekwe boarding kwa ugomvi wa kimapenzi wa wazazi?!
Swali zuri sana na naomba unielewe vzr ndg Riwa, mwanamke siku zote akikuzalia mtoto ndipo huanza kufungua makucha na tabia zingine hasa akikukuta huna hata mtoto wa kusingiziwa. Muulizeni huyo mleta mada kabla hawajazaa kama huyo dada alikuwa na tabia hii. Mtoto anapokuwa nyumbani mara nyingi sisi wanaume tunapenda apate uangalizi wa mama yake (mke wako) na hapo ndipo wake zetu huvimbisha kichwa kuwa huna ujanja wa kumuacha. Sie wasukuma ndiyo sababu kuna mila ambayo hadi leo ipo kuwa mara mpatapo watoto basi huchukuliwa na babu na bibi yao hata kama mnaishi mtaa mmoja lengo ni kuwafanya watoto wazoee maisha ya bibi na babu yao ili hata siku mkiachana walezi watakuwa babu na bibi na shangazi zao kwa mbali. Hakuna mwanamke usukumani anayeweza kukufanyia huu upuuzi harafu ndugu wasiingilie kati na wakikuona uko bushoke wanakutenga ukoo mzima.Sasa hapo mtoto kahusikaje mpaka apelekwe boarding kwa ugomvi wa kimapenzi wa wazazi?!
Muache baba. Mbali na yote hana heshima ( kwako) wala hana adabu. Funga kazi ni baba mdogo wake, huyu hutamuweza hata siku moja.Plan yangu ilikua baada ya kumaliza chuo tufunge ndoa baada ya chuo ndio nikaanza kuona changes kiasi zikanipunguza kasi ya kutoa mahari maana njia zake zilianza kunipa shaka
Kwel KBS atusikiiiiiKila siku mnaambiwa usimsomeshe mwanamke asiye ndugu yako hamsikii
Acha nayo hiyooo familia ulimsomesha kwa kipindi mpo Wa penzi ukitimiza baadhi ya majukumu tu,tafuta mwingnekuna mda linaniijia hilo wazo nataka nae asikie uchungu