Imeniuma sana, mke wangu anatembea na baba yake mdogo

Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni

Mkuu usilete masihara wala kutupotezea muda!!

Kama unataka ushauri wa kisasi nakupa huu hapa.

Funga safari mfuate Dar hakikisha unampata then mvizie,mteke. Hakikisha Kamanda Siro asikuone.

Chukua kisu au kiwembe cha Topas kata lips zake zote za juu na chini, yaani hakikisha meno yote yanakaa njee kama anakuzomea au anacheka. Chukua ile nyama ya lips tupilia mbali au kachome ule.

Ukifanya hivyo itakuwa fundisho kwake.

Kwa ushauri zaidi nitafute ila acha uboya vitu vingine sio vya kushaurishana ulitakiwa uwe ulichafanya yako mapema.

*****...mademu wengine wanazingua saaana.
 
Uyo hafai kuwa mke kwanza kama kaweza kutoka na dingi ake mdogo hatashindwa kutoka ata na mfanyakazi wenu wa kiume kama yupo.kaza roho achana nae jipange utoke ki vingine hao ni wadudu sio watu.
 
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni
Mkuu haukuwa na mchepuko wewe..! Kama unao basi ugeuze uwe njia kuu...! Tupa kule.
 
Mkuu nina maswali mawili kabla ya kutoa ushauri wangu; Je, ni mke wako wa ndoa? Na kama ni mke wa ndoa, Je, ni ndoa aina gani, kikristo, kiislamu, kimila au kiserikali?

Mkuu kumbuka ubaya hushindwa kwa wema, nikiwa na maana ya kwamba hakuna dhambi ambayo yaweza kufutwa kwa ktenda dhambi nyingine! Kaa, tulia then msamehe tu, kama mchango wako katika maisha yake ni mkubwa na wewe umesimama imara katika njia zako wala hukumtenda chochote kibaya, atakukumbuka na malipo yake ni hapahapa duniani, lakini mwenye kujua ni Mungu, wala wewe usimuombee mabaya, Siku zote muombe Mungu amsamehe na umuombe akupe Wa kufanana na wewe! Jipe moto utashinda mkuu!!
 
Ila hapa ndipo inapokuja busara ya ndoa mapema...hii tamaduni ya kukaa na mtoto wa mtu ndan ya nyumba miaka kibao then mnazaa mtoto anakuja kuwa mpamba harusi yenu sion mantik yake otherwise mniambie ktk bibble inaruhusu. Mtu walau ukishamuoa kuna vitu flan anakua ana limitations from within.
 
Wanajamvi nimekuja na simanzi kubwa sana moyoni. Sijawahi kuumia kiasi hiki, maelezo ni marefu lakini ngoja nifupishe ili nisiwachoshe.

In short nina mke wangu nmeishi nae kwa mwaka 1 kama mke na mume. Ingawa mazingira ya kikazi yametufanya tuwe mbali kidogo lakini nmekuwa najitahid kufika kwake mara kwa mara sababu sio mbali sana(sisi ni watu wa Kanda ya Ziwa ki-makazi lakini sio kwetu).

Tatizo limekuja kuna tetesi nilipewa na dada yake kuhusu mahusiano kati ya mke wangu na mzee mmoja mwenye umri wa miaka 46. Mbaya zaidi ni baba yake mdogo na mke wangu ingawa walikwishatalakina na mkewe ambaye ni mama mdogo wa mke wangu kitambo kidogo kimepita.

Chanzo cha wao kukutana ilikua mke wangu ali carry somo moja apo UDSM ikabidi arudi kufanya hio course basi huyo mzee akamchukua aende nyumbani kwake amuangalizie wanae huku akienda chuo basi mchezo ukaanzia apo mzee kamrubuni mke wangu kuanza kutoka nae.

Kama mwanzo nilivoeleza, dada wa mke wangu aliniambia hicho kitu ila nikapuuzia sababu huwa na tabia ya uchonganishi pia huwa mahusiano yetu sio mazuri.

Nilichoamua nikafanya uchunguzi mwenyewe kwa njia zangu ninazozijua nikagundua ukweli. Mimi ni mtu wa IT basi nakaja kugundua hata baadhi ya vitu kama simu, camera, mavazi na pesa mke wangu analeta huwa vinatoka kwa huyo mzee maana nlikua napatwa shaka na spendings zake kulingana na kipato chake cha ualimu.

Basi tumeenda hivo lakini ndani kukawa na visa kikitoka hiki kinakuja kile ikafikia akaanza kuninyima sex anadai simfikishi wakati namjua vzuri na huwa namfkikisha, kwa hilo sina shaka hata tone.

Nikirudi nyuma kidogo mimi ndio nimemsomesha chuo tangu mwaka wa kwanza mpaka kamaliza na nimegharamika mambo mengi juu yake. Hapa tulipo tuna mtoto 1 wa kiume ana miaka 4 sasa.

Muda huu na andika post hii mke wangu yupo Dar, nimemuuilza yupo kwa nani hasemi. Nimeumia sana ikabidi niongeee na mama mkwe nikamueleza situation. Akampigia simu mwanae, kilichofuata akanitusi na kunitamkia maneno ambayo yamenichafua sana nafsi yangu.

Namnukuu "Unampigia simu mama akusaidie nini?, kama nato** si mimi wewe inakuhusu nini? Na nakuapia lazima nit**we huku ili utulie."

Imeniuma sana mpaka sasa moyo wangu umefunga siwez tena tena endelea nae ingawa nampenda na bila mimi asingekua hapo alipo leo" Nimejizuia sana kulipa kisasi nimeshindwa ukizingatia familia yao nimeibeba sana kwa mambo mengi.

Nikumbushe kitu, ukwel ni kwamba nilikuwa sijatoa mahari mpaka sasa ingawa tuliishi nae kama mke na mume. Lakini mpango ulikua mwezi huu na nilikua nimekwisha andaa kila kitu. Hata nashindwa nianze vipi kuwaeleza wazee.Nina mengi nimeyaruka kuyaeleza maana mimi si mwandishi mzuri. Natamani ningemsimulia mtu aandike.

Naomba ushauri wenu wadau na maswali pia kama yapo ila kama nitapata mtu wa kunipa njia nzuri ya kisasi nitafurahi.

Asanteni
Mmmh hii ni laana achana nee...duu
 
kwanza kabisa nikupe pole ndugu kwa mitihani hiyo. Pili hujafafanua vizuri kwamba katika upelelezi wako ulioufanya kwamba uliwafuma LIVE mkeo na Baba yake mdogo wakipeana mavituzi.

Kama hujawafumania LIVE basi siyo vyema kuanza kumshutumu mtu bila kuwa na ushahidi wa uhakika.

Kamilisha kwanza upelelezi na ukishapata ushahidi wa kujiridhisha basi ndiyo ufanye uamuzi, lakini ushahidi wa picha na sms bado haujitoshelezi ndugu.
 
hio live utaipata wapi mkuu mambo yana fanyika gizani
 
Mpiga magoti mshukuru Mungu kakuonyesha mapema kabla hujatoa mahali na hujafunga ndoa huenda baada ya ndoa ungejua umia zaidi, mshukuru Mungu kwa kila jambo utapata anaenda kufaa Huyo si wako haina hajawa ya kulipa kisasi.
 
Kwa hatua hiyo kuendelea kubaki nae ni kujiongezea stress mwisho wa siku uamuzi mbaya....
 
Hapo kwenye kisasi "Samehe na usahau"
Mungu atakulipia mkuu, pole sana!
 
Pole, ni part ya life yako nw. Ni ww utakayeamua nn ufanye. That's satanic work tu, just relax tu kama wiki hivi. Fanya kama hujaumizwa na matusi yake, omba kwa ajil yake. Send her gud SMSs every night.
Tafuta sehemu nzuri tulivu, ili kupumzika kutokana na stress ulizonazo nw. I'm sure baada ya muda atajutia makosa yake, be ready kumusamehe..

ndugu yangu iyo true love unayo ongelea apo juu tuisubiri tu mbinguni. kwa matendo hayo kweli unaweka nia ya kuendeleza ndoa..
 
Pole kaka hebu achana nae maaana huyo Hata ukimuoa tu atakuletea kiburi na dharau kisa anauwezo wa ajira unazani angekuwa hana ajira asingekufanyia huo ujinga wa kkujibu vibaya
 
Acha kisasi, achana Na huyo mke kuanza upya sio ujinga
 
Mkuu pole sana kwa ushauri wangu huyo mwanamke atakusumbua sana tayari ameshabadilika Na kumbadilisha hutaweza Mimi nakushauri anza sasa ivi kumtoa akilini kwako Na uachane naye kwa sababu atakuletea matatizo makubwa Na utakuja juta maisha yako yote Mimi yamenitokea kama ya kwako hayo Na nilichofanya nimeanza kumtoa kidogo kidogo akilini bt naumia sana kwa sababu bado nilikua nampenda bt dawa ndio hio mkuu
 
Mkuu, ukimwendekeza huyo,utaamka siku moja ukiwa umeishachinja mtu. Mpige talaka utafute mwanamke mwingine. Hayo uliyonayo siyo mapenzi,ni undezi. Tafuta mwanamke anaekupenda na sio huyo.
 
Back
Top Bottom