labda ujitengenezee mwanamke wako wa udongo
Mkuu laiti kama ugekuwa unamjua huyu mwanamke shetani usigeandika hivyo, mwanamke amezisha matimbwili ndani ya nyumba lengo lake kuu wagawane akanzishe mirandi atakayoisimamiya yeye.
mkuu katika dunia hii ya sasa kama bado hujaoa tumia akili sana, kuna wanawake wenye akili kama za huyu wanaotafuta mwanya wakutokea kimaisha tu, kwa dhana yakuolewa.
Hivi Shy land Huyo mwanamke angekuwa Dada yako ungefurahi Siku anabalaswa name bwana ake na anaondoka mikono mitupu
Unaelewa nimi maana yakufunga mkataba.?
Usiache kuoa ila kabla hujafunga ndoa tafuta mwanasheria muandikishiane kila kitu. Mali zako zibaki kuwa zako mkiachana. Na za mke zibaki kuwa za mke mkiachana. Mali zitakazogawanywa ziwe zilizochumwa mkiwa pamoja..ikiwezekana weka na percentages kabisa anaezalisha mali nyingi na fungu lake la mgao liwe kubwa
mkataba ninongalea ni wamelewano maalumu, kwamba kazi zote ambazo atakuwa anazifanya kama mke nitamlipa kama waajiliwa wengineaina gani ya mkataba unaongelea?
utakuwa mkataba kisheria tuzolizia mimi na yeyeUtakuwa kisheria?
ifikie wakati serikali ipitie upya hii sheria, wanawake wanaovunja ndoa zao kwa makusudi kwa lengo la kugawana mali walizokusanya na walizozikuta, wasipewe chochote,Huyo shemeji yako alistahili kabisa hizo mali! Unafikiri kuwa na mchango kwenye mali mpaka achume? miaka yote saba amekuwa akimshauri,akimpikia na kila kitu hiyo ilikuwa inatosha mwanamke kupata mgao
ndio maana nikasema nimepata fundisho, kama sitofanya kama mawazo yangu yanavyotaka basi nitaenda mahakamani kuandikisha mali na vitu alivyovikutaNa wewe ukijichanganya kama unavyo taka kufanya mtagawana hizo mali.
Pole mkuu ila ndoa night tamu sana na ni raha, mifano ipo mingi u cannot copy somebody's marriage style hilo moja.
Pili inaonekana we bado mtoto mdogo sana acha kuwaza ya wakubwa. Nisikuchoshe kiufupi atakuua mapema tu na kumiliki kila kitu. Just b positive life is good & marriage is beautiful
nashukuru kwa mawazo yako.
kwanza nakuomba uelewe kwamba mimi siyo mtoto.
pili. mkuu kufikia kufanya maamuzi kama haya siyo kwamba nimekurupuka tu from no where? nimefanya haya maamuzi baada yakuona wanaume wengi wananyanyaswa na hii tabia ya wanawake wapuuzi,. kwa mimi nina mikakati mathubuti yakuhakisha kwamba muajiliwa wangu hatanithuru kwa namna yoyote.
na hata kama akifanikiwa kunithuru hatafaidika na chochote kwa maana yakujipatia mali
Main thing about marriage is to give a woman a reason to be submissive brother that's all
kaisome sheria ya ndoa kisha urudi kufuta hizi pumba ulizoandika
Ivi wewe unadhani mwanamke ni mtumwa wa mwanaume? kwamba yupo duniani kukutimizia haja zako tu!!! jaribu kufanya unalofikiria kama ni rahisi.