Imeniuma sana, lakini nashukuru nimepata fundisho

Imeniuma sana, lakini nashukuru nimepata fundisho

Mkuu laiti kama ugekuwa unamjua huyu mwanamke shetani usigeandika hivyo, mwanamke amezisha matimbwili ndani ya nyumba lengo lake kuu wagawane akanzishe mirandi atakayoisimamiya yeye.

mkuu katika dunia hii ya sasa kama bado hujaoa tumia akili sana, kuna wanawake wenye akili kama za huyu wanaotafuta mwanya wakutokea kimaisha tu, kwa dhana yakuolewa.

mali ya dhuluma inakuwaga na mwisho mbaya.....kama ni kweli alifanya hivyo ili apate mtaji basi Mungu yupo na malipo ni hapahapa duniani......
 
Mkuu kwa sasa ndugu yangu hajui hata wapi aanzie?! imeniuma sana

Mkuu ukitaka kuoa tafuta mwanamke anayejiweza financially,au kama hayupo vizuri kifedha basi awe na elimu inayomuhakikishia maisha mazuri baadae.
Kama ni maskini Wa kiuchumi na kielimu ndugu hesabu maumivu.
MASKINI HAAMINIKI
 
Mkuu kwa sasa ndugu yangu hajui hata wapi aanzie?! imeniuma sana

Aisee. Shy land amwombe mungu sana mungu atampa tu mali nyingine kiukwel lkn inauma sana siyo mbaya madam anayo miguu na mikono yote mungu atamjalia atapata vingine.
 
Dah mkuu mh aisee ni shedahh kwa kweli yan next weekend naenda kununua kiwanja 100percent nagharimikia mimi dah na naenda na ur shem na bado hatujafunga ndoa hapa sasaaaa anyway tusubiri maana mkasa wako umenifunza kitu
 
Mkuu binafc nakushauri nendeni wote tu wala aina shida isitoshe amjafunga ndoa uko mbele kikinuka uyo mwezio ana chake wew nunua kiwanja chako andika majina kwenye ati zako za nyumba coz uyo mwenzio kwenye izo ati ahusiki coz ujafunga nae ndoa
 
Spat picha we ndio unaletewa kesi kama hii

Mkuu anachosema huyo dada ni kweli lakn naomba achakulia kama kaka yake amefanyiwa vile na wife yake, atachukuliaje? je yeye atachukua hatua gan ili yasimkute.
 
Bora umesema wewe....

Wewe tanguliza matani tu kwenye ukweli, laiti kama yagekuta wewe ugesema vizuri.

mali umetafuta kwa juhudi zote hafu atokee sheteni afanya makosa na kutengeneza visa vya makusudi, lengo kuu mgawanawe ili akatengeneze mirandi yake.

mkuu chukulia kama ni ndugu yako. utajisikiaje??
 
Ntamwona mzembe na mshamba tu.

Kuzaliwa na baba mwizi ni mpango wa Mungu...

Kuoa mwanamke mwizi ni uzembe wako mwenyewe

Take note.
 
Ntamwona mzembe na mshamba tu.

Kuzaliwa na baba mwizi ni mpango wa Mungu...

Kuoa mwanamke mwizi ni uzembe wako mwenyewe

Take note.

Hahahahaha na mie sijaona wizi wa huyo bidada maana ni sheria iliyopo ukiwa mke lazima una fungu lako.
Asprin haujambo?
 
Last edited by a moderator:
Katika tamanduni za kiafrika zilizo nyingi mwanaume anapoachana na mkwewe ndio huenda na watoto.

katika tamanduni za makabila ya kanda ya ziwa kuna desturi yakutoa poza ya mali nyingi sana
ikiwa na maana ya kwamba siku mwanamke akimua kuachana na mumewe watoto anawaacha na yeye anasepa kama alivyokuwa wakati anakuja kuolewa.

hasa mimi kosa langu liko wapi?? tena kwa kumuongezea zaidi namlipa na mshahara mnono. kwa nini asipatikane.

Njoo kwangu nifanye hiyo kazi. Ntakuzalia kila mwaka. Tafuta tu mtu wa kunyonyesha.
 
Usiache kuoa ila kabla hujafunga ndoa tafuta mwanasheria muandikishiane kila kitu. Mali zako zibaki kuwa zako mkiachana. Na za mke zibaki kuwa za mke mkiachana. Mali zitakazogawanywa ziwe zilizochumwa mkiwa pamoja..ikiwezekana weka na percentages kabisa anaezalisha mali nyingi na fungu lake la mgao liwe kubwa

Mnawaza kuachana kabla hata hamjaoana? Labda kama mnajaribu ndoa.
 
Mkuu mbona umekuja na mkakati hatari sana katika ajira unayotarajiwa kutoa ....?
 
Hahahahaha na mie sijaona wizi wa huyo bidada maana ni sheria iliyopo ukiwa mke lazima una fungu lako.
Asprin haujambo?

Familia yao na yeye wakati anaolewa alikuwa masikin wakutupwa.

na kazi aliyokuwa anaifanya ni kugegedwa tu.
hakuwahi kutoka kwenda kazini tofauti nakusubiri kugegedwa.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom