Shy land
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 6,245
- 2,856
- Thread starter
- #81
Duuh pole yao hao watoto utakaozaa na huyo housemaid. Ndoa zipo, kuachana kupo. Kama maishani watu wote wanachukulia kama wewe basi tusingecheza kwaito kila siku. Hiyo ya kakako ilikuwa ni bahati mbaya, je umeweza kuangalia upande wa pili kama kuna ndoa za wanaozikana.....?
Wenzako wanaoamua kuwa bachelor forever, hata habari ya kuzaa wanaitoa maana ni colleteral damage au wanakodisha womb, yani huna hata haja ya kujamiiana inakuwa full business, humuoni inakuwa documented na akishazaa unampa pesa yake. MAmbo ya kuchanganya housemaid na kukuzalia duuh watoto haiwezi kuwa kirahisi, mkiachana mimali itakutoka tu.
Lakini kama nimekufahamu vizuri inaonyesha ni mtu unaeamini kuwepo kwa familia lakini imani kama zipo ndoa za kudumu huna.
Try to fall in love....vitapeperuka hizo fikira zako. All Za best
cc Shy land
Ubarikiwe sana mkuu, kwa kweli huu utapeli unauma sana. na kukatisha tamaa na kutowaamini wanawake kabisa
Last edited by a moderator: