Inatiaga huruma saanaa...sometyms unamkuta mbaba age ya baba yako anauza sigara, karanga, jua lake mvua yake....huo umri alipaswa atulie nyumbani acheze na wajukuu

Masikini wapo dunia yote. Hata marekani kuna machinga, ombaomba etc cha muhimu ni sisi kwa sisi kusaidiana na kupendana. Kuilaumu serikali sio suluhisho.

Mimi pia leo nilienda kununua apples, nikakutana na mdada mzuri tu anauza.... nikamuuliza kwani upo likizo ya shule? akanijibu hajawahi kwenda shule...! dah! nilipomuuliza kwann hakunijibu.... kila nimuulizapo hajibu.... yani imeniumiza, nikifikiria mimi nimesoma hadi nimekataa kuendelea.. mwenzangu hata uniform hakuvaa
Hebu nielekeze na mimi nikanunue hayo ma aple nayapenda sana.
Kupendana kunaondoa umasikini?
Majibu mepesi ya wana ccm walioshiba utayajua tu hapo unahalalisha UFUKARA WA WATANZANIA kwa kisingizio eti hata Marekani kuna masikini.