Unapenda ujuaji sana mkuu, Maaandishi kakosea Picha ya gari je?? Anyway wavaa miwani ni Walemavu kama wengine tu ngoja ujitutumue tuHivi Kuna gari mpya inaitwa HARRER
Unapenda ujuaji sana mkuu, Maaandishi kakosea Picha ya gari je?? Anyway wavaa miwani ni Walemavu kama wengine tu ngoja ujitutumue tu
Hiyo bei sio ya ajabu mbona,Habari ya uzima!
Nikiwa huko kwenye mitandao mingine nimekutana na bei ikanishanganza nikawaza kama ni hvyo naweza miliki ndiga hii
$1250 hii ni sawa kweli gali kuuzwa takribani milion mbili na kama laki nane hivi sijui au wanazingua weziView attachment 1101823
Labda kwa sababu ni HARRERHabari ya uzima!
Nikiwa huko kwenye mitandao mingine nimekutana na bei ikanishanganza nikawaza kama ni hvyo naweza miliki ndiga hii
$1250 hii ni sawa kweli gali kuuzwa takribani milion mbili na kama laki nane hivi sijui au wanazingua weziView attachment 1101823
Habari ya uzima!