...Una-balance nini sasa?? Mizania ya wapi hiyo..Unadhani unamkomoa huyo Mr. wako? Na huyo jamaa uliyeamua akumege ujue mwisho wenu hautakuwa mzuri!!! nakuhakikishia hilo na utakuja ku-confess hapa hapa ulipotaka ushauri!!!!Wanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
...Una-balance nini sasa?? Mizania ya wapi hiyo..Unadhani unamkomoa huyo Mr. wako? Na huyo jamaa uliyeamua akumege ujue mwisho wenu hautakuwa mzuri!!! nakuhakikishia hilo na utakuja ku-confess hapa hapa ulipotaka ushauri!!!!
Tena najisikia raha sana kwa kweli. Maana nilikaa chini siku moja nikajiuliza, hivi nitabadilisha mpaka lini, maana wakati wa usichana wangu nimeachana na ma boyfriend kama wanne kwa kosa hilo hilo. Ss hata nikienda kwa mwingine mambo siyatakuwa hayo hayo. Sijipi presha tena, na moyo wangu umetulia sana kwa sasa.
wEWE sHAPU WEWE!
WHAT makes you think men are supreme and superior kiasi cha kufikiria wao wanahaki ya kucheza na mioyo ya wake zao? Mwosha kuna siku anaoshwa kama hivi alivyoosha Mrs Mtaba.
I like the underlined part!
Ha ha ha ha aha aha aaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, you made ma day boy, like me am a JF GHOST!Humu ndani wengi wetu ni maghost tu...
Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.Aaaa,nashindwa sijui niseme nini nimesoma michango ya watu from pg1 up to 13,kazi ipo,jamani huyu mama alikua na hizi tabia hata kabla ya kuingia kwenye ndoa,hakuna tabia mpya inayozaliwa ndani ya ndoa,hakua mwaminifu kabla ya ndoa na ndo anayoyaendeleza,kwanza wewe ni dini gani? maana tunaaswa na viongozi wetu wa dini kwa habari ya kusamehe wenzetu,sasa kama wewe mr alikuomba msamaha kwa nini ulilipiza? na inavyoonekana wewe si mwadilifu kabisa.nimeshangaa sana unavyojibu,kama kweli wewe ni mwanamke unatudhalilisha wanawake wenzako walioko hapa,yaani kwa jinsi tu unavyotoa maelezo yako na watu kama nyie ndo mnasababisha watu wengine wakate tamaa ya kuingia kwenye ndoa.
Wewe mama wewe hivi ulimpenda huyo mume wako kwa dhati kabla ya kuoana? au kulikua na shinikizo katika uhusiano wenu? napata hisia wewe ndo ulim-convince kaka wa watu akuoe ili uendeleze tabia zako chafu ukiwa mrs, looo nakupa pole zako.
Jamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.
Haa, jamani we mama wewe mbona unajichanganya sana? Anyway am out naona sikuweziJamani msinishambulie sana, nilifanya mara moja tuu kutoa kinyongo. Kwa sasa mbona tupo fit kabisa tena tumerudia mapenzi kama yale ya kabla ya ndoa jamani.
i understand Nguli!Totaly confused!
Haa, jamani we mama wewe mbona unajichanganya sana? Anyway am out naona sikuwezi
Wanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
Sasa wewe unahisi kuna kitu umebalance hapa?kama mnataka kubalance subirini kuleteana ngoma nyumbani,umefanya ujinga wa mwaka na yeyote atakaye kutetea ni mjinga mwenzako,lazima kuna mapungufu mumeo kayaona kwako,ulikuwa unatakiwa ujitahidi yafahamu na kurekebisha,kwa mtindo uliofanya hautokusaidia tena ndio unaweza hatarisha ndoa yako kabisa,na ukiachwa amini usiamini na huyo jamaa atakuacha,hapa mmeonyesha jinsi gani mafahali wawili mmeishi kimakosa kwenye hilo zizi!!!*** marriages and its fellows!!!Wanajamii za leo jamani,
Niko kwenye ndoa ya almost two years, hatuna bado mtoto na my mr. Ktk hiki kipindi chote hadi sasa ndoa kwa kweli imekuwa na ups and downs kama kawaida. Ila cha ajabu nilichokuwa na hisia nacho toka nilipoanza kuishi na mwenzangu majibu nimeyapata...ana mega nje ya ndoa tena aliye kuwa girlfriend wake wa zamani, kutokana na taarifa niliyopewa na wake za marafiki zake wakaribu. Nampenda sana my mr. ila sijui ni nini hasa kilichompelekea kuanza tena uhusioano na huyo mama maana anamzidi kama 10 years hivi. Nikitu kimeniuma sana roho kunipelekea, ss kutokumjali tena, na kuamua kuwa na boyfriend wa kuniliwaza. Je, nimefanya kosa katika hili. All the evidence i had na akaomba msamaha nimsamehe. Nilimsamehe lakini na mimi nimehakikisha nimetafuta wangu wa nje ili tu balance.
..............!!!*** marriages and its fellows!!!

Sio pendekezo langu, nimisukumo ya hapa na pale. Life is short everyone needs to enjoy it.
Inasikitisha sana, sasa mkikutana jioni kila mmoja katoka kumega/kumegwa nje mnakaa mezani mnaongea au ?