Imekuaje wanaume mmepunguza kuhonga

Kuna nn tena my sis....mwanaume gani tena hahongi huko....ila wanaume wanataka sababu ya kuhonga hawahongi hovyo tu
Mpe sababu ya kukuhonga onhooo
Lamomy njoo utoe semina elekezi huku
🀣🀣🀣🀣
 
Ukiona wamepunguza kukuhonga jua umeshadoda shost. Wakati wako umepita.
Wenzako bado tunahongwa hadi tumechoka kusema β€œwaooooohhhh thank you beb”.

Haya sasa fanya kazi acha kutegemea kuhongwa .
NAKAZIA πŸ”¨
 
Tafuta zako za kuhongwa ziwe za ziada shosti, ukizoea kuhongwa utaombwa mpk visivyoombeka!!! Si unajua km wanaume ni mbwa?! Utapigwa dog hata usiku wa manane na huna cha kumfanya 🀣🀣🀣
πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸƒπŸ€£
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…