Imekaaje mume na mke kwenda sokoni pamoja?

Imekaaje mume na mke kwenda sokoni pamoja?

Napendaga life style ya waarabu, mke kwao ni kama pambo. Anakaa tu nyumbani.

Mwanaume au kijakazi ndiye hufanya maemezi sokoni kumletea bibie apike.

Inapunguza sana chance ya mke kukutana na vishawishi vya wafanyabiashara na wateja wenye tamaa kumtongoza ovyo.
 
Aaah wapi .mwanamme akae kama mwanaume bna.mwanaume wa kupelekeshwa kwangu big no
Unajua malezi nayo yanachangia tuwe na Perception tofauti.
Kama umelelewa na wazazi wasio na upendo zaidi ya ugomvi wa mara kwa mara hata ukiwa mkubwa ukaona kuna mwanaume kaamua kumsaidia mke wake kuosha vyombo we utaona siyo jambo la kawaida utahisi ni mwanaume anapelekeshwa.

Kwasababu uliishi kwenye familia ambayo haijawahi kuwa na upendo
 
Kumbe upendo unapimwa hivo ??
 
Kumbe upendo unapimwa hivo ??
Ndiyo upendo ndo unapimwa hivyo we unafikiri upendo na unapimwa na nini?
Familia zenye upendo utakuta mtoto wa kiume unafundishwa kumsaidia hata dada yako kuosha vyombo siku moja moja ili siku ukiwa na maisha yako usione ajabu kumsaidia mke wako.

Suala la kwenda na mke sokon alaf ukamuacha kwenye gar ukaenda kununua wewe ni kitu kidogo sana kwa mtu mwenye upendo siyo ujinga wala nini ni jambo la kupongezwa kabisa
 
Hakuna kitu napenda kama kwenda na mke wangu sokoni.Kila Jumapili lazima niende nae au hata week days nikiwahi kurudi, jioni tunaenda kununua mahindi mabichi na samaki fresh .
Wamama na wababa wauza mboga mboga na matunda wameshatuzoea sana.
Tuna miaka 15 ya mahusiano.
 
Hata Mimi ni Jambo la kawaida kwenda Sokoni na Shemeji yenu.

Watu waliokosa upendo au wenye athari Mbaya za kutokupendwa ndio HUONA shida kwenye mambo kama hayo.

Tunaenda wote Sokoni ikiwa hakuna kazi nyingine.
Kanisani tunaenda pamoja na tunakaa pamoja.
Popote pale tunakuwa pamoja ikiwa tuu Ratiba itatutaka pamoja.
 
Back
Top Bottom