Imekaaje mume na mke kwenda sokoni pamoja?

Imekaaje mume na mke kwenda sokoni pamoja?

Kuna kitu hapo mke kamzidi mume

Watibeli hilo ni Jambo la kawaida Kabisa.

Iwe Mume kamzidi MKE au mke kamzidi Mume Kwa Jambo lolote.
Tunaenda popote pamoja.
Tunakaa pamoja ikiwa Ratiba hazijabana.
Tujaenda club pamoja,
Tunaenda Kanisani pamoja.
Tunalala na Kula pamoja.

Muda mwingi tunahakikisha tupo pamoja hasa tukiwa holiday au weekend, au tumetoka kazini.

Mke au Mume ndiye rafiki namba moja.
 
Vijana mnashida sana sasa kwenda na mke sokoni kuna shida?

Mimi naongozana na Mama Junior wangu yeye ananunua vitu vyepesi mimi nanunua vitu vizito kama mchele, unga nknk.

Na tukirudi tunaingia wote jikoni kupika.
 
Daah
 
Vijana Hawana shida.
Ila wamerithi Wrong ideology za kizamani ambazo ukizifuatilia niza kijinga.

Ni Sawa na Ile Baba ndio anakula paja, au wanaume wanakula alafu wakishiba ndio wale Wanawake. Huo ni uhuni, na Akili ndogo.
 
Wengi wao hawana familia au ndoa zao hazina amani na furaha.
 
Watibeli hilo ni Jambo la kawaida Kabisa.

Iwe Mume kamzidi MKE au mke kamzidi Mume Kwa Jambo lolote.
Tunaenda popote pamoja.
Tunakaa pamoja ikiwa Ratiba hazijabana.
Tujaenda club pamoja,
Tunaenda Kanisani pamoja.
Tunalala na Kula pamoja.

Muda mwingi tunahakikisha tupo pamoja hasa tukiwa holiday au weekend, au tumetoka kazini.

Mke au Mume ndiye rafiki namba moja.
Ni kweli
Lakini kwanini mke abaki kwenye gari,mume atoke kwenda sokoni kufanya manunuzi?

Ingekaa poa zaidi kama mke angeenda ama wakashuka pamoja
 
Ni kweli
Lakini kwanini mke abaki kwenye gari,mume atoke kwenda sokoni kufanya manunuzi?

Ingekaa poa zaidi kama mke angeenda ama wakashuka pamoja
Pengine huyo mama alikuwa na shida/changamoto ya kiafya Kwa siku hiyo...

Me Kuna siku nmeenda nae, akapata changamoto fulani, ikabid nimwache parking nikaenda kufanya manunuzi yote... Kwa mtu ambae hajui anaweza Lete story kama hvyo
 
Vijana mnashida sana sasa kwenda na mke sokoni kuna shida?

Mimi naongozana na Mama Junior wangu yeye ananunua vitu vyepesi mimi nanunua vitu vizito kama mchele, unga nknk.

Na tukirudi tunaingia wote jikoni kupika.
Kwanini abaki kwenye gari? Ndo swali langu
 
Naona Shoga angu umekuja kunisema Mie🤣 Baba K wangu ndio anaendaga sokoni, na anajua kuchagua bidhaa nzuri kuliko Mie....na akirudi na kuku au nyama anakatakata mwenyewe...mi Kazi yangu kutia tangawizi na kitunguu swaumu.

Halafu wala sijawahi kumroga, msije kusema limbwata.
 
Unajua malezi nayo yanachangia tuwe na Perception tofauti.
Kama umelelewa na wazazi wasio na upendo zaidi ya ugomvi wa mara kwa mara hata ukiwa mkubwa ukaona kuna mwanaume kaamua kumsaidia mke wake kuosha vyombo we utaona siyo jambo la kawaida utahisi ni mwanaume anapelekeshwa.

Kwasababu uliishi kwenye familia ambayo haijawahi kuwa na upendo
Umemaliza
 
Utafiti wa mleta mada unafanyika hivi anapitag masokoni anachungulia kwenye vioo vya magari ya watu kuona kama kuna wanawake wamo humo akishawaona anasubiri kuona wanaume wanatoka sokoni na kuingia kwenye magari hayo hapo anakuwa amekamilisha utsfiti wake na kuondoka kwa furaha
 
Hakuna kitu napenda kama kwenda na mke wangu sokoni.Kila Jumapili lazima niende nae au hata week days nikiwahi kurudi, jioni tunaenda kununua mahindi mabichi na samaki fresh .
Wamama na wababa wauza mboga mboga na matunda wameshatuzoea sana.
Tuna miaka 15 ya mahusiano.
Safi Sana
 
Imekaaje wakuu mume na mke kwenda sokoni, wakifika mke anabaki kwenye gari mume anaenda kufanya manunuzi.

Wewe mke si ungabaki tu nyumbani shoga yangu uchati na kucheki tamthilia vizuri?
Mi mke wangu ana hako kaugonjwa. Nikiwepo Dar cku ya kununua vitu yule tunaempa order ya kutuletea anastopishwa. Tunaenda nimsindikize. It's 20yrs now.
 
Back
Top Bottom