Imekaaje mume na mke kwenda sokoni pamoja?

Imekaaje mume na mke kwenda sokoni pamoja?

Naona Shoga angu umekuja kunisema Mie[emoji1787] Baba K wangu ndio anaendaga sokoni, na anajua kuchagua bidhaa nzuri kuliko Mie....na akirudi na kuku au nyama anakatakata mwenyewe...mi Kazi yangu kutia tangawizi na kitunguu swaumu.

Halafu wala sijawahi kumroga, msije kusema limbwata.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom