Imekaaje hii?

Sioni umuhimu wa kujua kuhusu alienivunja bikra.........

I loved before.....I may Love again........ what matters ni

niko na wewe sasa......mengine ukiyajua utazidi kuumia sana
Sipati picha umemuuliza anakwambia yaani namkumbuka sana anna manake alikua dada mrembo na mwenye sifa zote na nilimpenda sanaaaa sidhani kama nitamsahau maishani mwangu. Unapewa sifa za waliopita mpaka unajiona si kitu. Kuelezea/kuelezwa yaliyopita yataka moyo wa chuma ingawa wakati mwingine ni muhimu humsaidia mtu kupona kama aliumizwa.
 
I never mind ni Me. Ila kumbuka sijaanza nipo Bikra na umri wa miaka 22 mwaka 2014 nafika 23 ndipo nategemea kuanza.

kumbe bado BIKRA....so I can consider your answer as INVALID......

I thought you were speaking from EXPERIENCE
 

Hapo sasa......halafu aseme sidhani kama nitakuja kumpenda mwanammke mwingine kama nilivyompenda
yule mdada..unaweza kudata..mie my view yapo ya kuelezana....ila sio kila kitu
BTW Upo maana nimemiss uwepo wako!!!!!!!!!
 
kumbe bado BIKRA....so I can consider your answer as INVALID......

I thought you were speaking from EXPERIENCE
Lakini nawaonaga nyie wakubwa zangu. Ni kawaida kwa Ke kutosema ukweli likija suala la ngono. Ila kwa wanaume wanasemaga ukweli
 
Hapo sasa......halafu aseme sidhani kama nitakuja kumpenda mwanammke mwingine kama nilivyompenda
yule mdada..unaweza kudata..mie my view yapo ya kuelezana....ila sio kila kitu
BTW Upo maana nimemiss uwepo wako!!!!!!!!!
Hahahahahahahaha yaani umenichekesha sana halafu anakwambia wewe yule humfikii kwa uzuri. Unajua hapo mimi sikubali kushindwa lazima nami niseme nilikua na mtu mwenye upendo kuliko wewe tena alikua handsome kiasi kwamba mpaka leo huwa namkumbuka sana.
 
Lakini nawaonaga nyie wakubwa zangu. Ni kawaida kwa Ke kutosema ukweli likija suala la ngono. Ila kwa wanaume wanasemaga ukweli

Sasa hear it from me and this is me being HONESTY If kuna kitu ambacho I will never Do ni kurudi kwa my first man

I just regert na kuna mda nahisi nilipotea njia kabisaaaa......what the hell was I thinking back then....
 

hahahaaaaaa unalipa kisasi LOL....
 
Tupe sababu za hiyo yes na no

^^
Unaweza kumuuliza swali rahisi mpenzi mpya mf 'Kwa nini uliachana na mpenzi wako wa zamani?'
Anakujibu kwa kujiamini ' Yaani we acha tu, hakuniletea zawadi wakati wa birthday yangu, hajawahi kuni suprise! Yu no what bebi, is not that attractive'
Majibu kama haya kwa mwanaume makini unaetafuta mke,anastahili big NO.
Kwani ni wazi anahitaji muda wa kukua.
Mwingne unamuuliza swali lile lile, kwa nin uliachana na mpenzi wako wa zamani, jibu linakuwa ' Yule mwanaume hana staha kwa ndugu na rafiki zangu, alikuwa anataka anachopanga hataki kuingiliwa, hashauriwi'
Mwanamke wa aina hii, nampa BIG YES maana ni mpenda haki,anajitambua na yupo tayari kwa mazungumzo nyakati za kutoelewana.
Nimetoa mfano wa swali 1, ila kimsingi yapo Maswali 11 yanayoweza kukupa mwanga juu ya Past ya mwenza.
^^
 
So inasaidia kumbe ukimuuliza mtu past yake manake naona hapo utajua kama hiki kichwa au tikiti maji. Lkn kuna majibu mengine vichomi aisee yataka moyo . Mimi nilimuuliza mengi mume wangu wakati wa mahusiano na nilipenda namna anavyojenga hoja na mipango yake ya baadae. Unajua kuna mtu unaweza uliza vipi mipango yako ya baadae anakujibu aah Mungu mwenyewe anajua , je kujiendeleza anasema aah unajua maisha sio elimu peke yake sasa kupitia maswali utajua mtu yukoje kimtazamo.
 
Hivi wadau wa MUM ni vizuri kuijua historia fupi ya Mapenzi ya mpenzi wako?Kwa mfano aliemtenda,aliempendaga sana,aliemvunja bkra na mengne mengi.Kama ni sawa inafaida gani kwenye Mapenzi na kama si sawa ni kwa nini?
Nawasilisha.

Mkuu,

Wahenga walisema BATA UKIMCHUNGUZA SANA, HUTOMLA!!
 
Tuko pamoja Mkuu, japo hilo la kujua ni yupi aliyeitoa bikra kwangu mimi halina umuhimu wowote lakini kujua history ya MUPENZI wako muhimu banaaaaa!!!! Wanunuzi wa gari second hand wanaulizia history ya gari kabla ya kuamua kulinunua au la....Mupenzi hujui mapenzi yenu yatawafikisha wapi yanaweza kufikia hatua ya kutaka kufunga ndoa, sasa utafunga ndoa na mtu ambaye hujui lolote kuhusiana na mahusiano yake ya nyuma!? Kama aliwahi kuwa changu doa je!? Wewe unapita mtaani ukidhani umepata kumbe umepatikana!!! Watu wanakung'ong'a mwangalieni yule anajidai na former changu doa!! Hutaki kuzungumzia history ya mahusiano yako ya nyuma basi na mie nasepa zangu.


Kwangu mimi nadhani ni vyema kujua japo kwa uchache...

Tupo hivi tulivyo leo kwa sababu ya jana au juzi, kuna watu wana msingi ulio na mashaka unaowafanya leo hii wasiwe imara...
 
Last edited by a moderator:
Sasa hear it from me and this is me being HONESTY If kuna kitu ambacho I will never Do ni kurudi kwa my first man

I just regert na kuna mda nahisi nilipotea njia kabisaaaa......what the hell was I thinking back then....

kumbe#Heaven on Earth ni mudafada?Please ni pm namba zako kuna present nimekuandalia wangu!
 
inapendeza kujua historia ya mweza wako japo kwa uchache...

kwanza utaijua tabia yake na msimamo wake hata akiongea vipi uongo..

km panafaa kujenga utajua pa kuanzia msingi.
 
Mkuu na si kila Bata anastahili kuliwa, wengine ni wa kupita nao mbali kabisa.
Mabata wengine ni sumu. Kujua historia ya mtarajiwa ni muhimu sana kwani itakusaidia kujua kidogo future yenu
 
Reactions: BAK
Msemo wa kijerumani unasema 'wer für die Geschichte die Augen schießt, versteht nicht die Gegenwärts" maana yake anayefumbia macho mambo yaliyopita hawezi elewa yamzungukayo.
 
Jibu ni YES...!kwnz hw cum unaanzisha uhusiano bila kujua maisha yake ya nyuma kwny mapenzi au umemuokota bar alafu juu kwa juu...inakufanya ujue jinsi ya kuishi cmply kumjua mwenzio ni km kuwa na 'manual' inapunguza risk ya kurudia makosa ya waliopita ht km wako 100.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…