Imekaaje hii?

Hahahaha Nakwambia....Ma-stalker wengine wa kuwagopa cuppy.....wanaweza kuwa ni sex offender....

Yeah...ahahahahahaaa....huyu wa hapa akiwa sex offender mpige zile judo na karate chops nilizokufundisha
 
kelly01 mambo vipi......nai miss ile avatar nitumie kwenye PM plz
 
LOL!......wee yo yo siyo wewe uliyeanza kusema ooh miguu gani hiyo kama ya wachaga>?..leo imekujili nini hadi unaiulizia>?

hahah Cuppy!...uwiii niweke lips tena unataka watu waanze kuchanganyikiwa hapa.....no way...miguu tuu ilitosha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom