halafu wewe hajaomba kutafuniwa she needs a favor
Usijali mpendwa wangu nilikuwa nataka nione UTU wa baadhi ya watu!!Tembea uone!!
Ngoja nikwambie kitu ndugu yangu kama una knowledge ya hio kitu kama unavyoproclaim usingeona shida kufafanua!!So i wonder if you even know what you are talking about?mimi tayari nafahamu....wewe ndiye usiyefahamu...hakuna mahali nilikueleza kuwa nitafafanua...
Ningeenda mbali kutaka kujua jinsia ya huyo anayeitwa mpenzi wa kwenye simu
Ngoja nikwambie kitu ndugu yangu kama una knowledge ya hio kitu kama unavyoproclaim usingeona shida kufafanua!!So i wonder if you even know what you are talking about?
Ni jinsi na siyo jinsia
Jinsia (sex) ni vile viungo vya uzazi; ama vya mwanaume ama mwanamke.
Jinsi (gender) inaelezewa katika mtazamo wa majukumu, tabia, tamaduni na taratibu za mwanaume ama mwanamke katika jamii.
soma vizuri maneno yangu ya mwanzo...I needed her favor in a first place...hapo rudeness ipo wapi?
Hahaha....utu wa mtu unaupimaje?
Usijali mpendwa wangu nilikuwa nataka nione UTU wa baadhi ya watu!!Tembea uone!!
Haya yamekwisa!!!I think it was a misunderstanding!!!!!!
are U still in the middle of something!!!!ututafsirie mi na mimi49
googling is different sometimes u can miss some explanation/points!!!!!!
Hahah mpwa utu wa mtu ni kutomshauri akagoogle wakati jibu unalo.
Hayajaisha. nenda kagugo uje uniambie. Chapchap sana.
Nimekubamba sijakubamba we babu........
we poa tu...........
Hayajaisha. nenda kagugo uje uniambie. Chapchap sana.
Hahah mpwa utu wa mtu ni kutomshauri akagoogle wakati jibu unalo.
mimi49 and watu8 you are not of the type kabisa yaaani please hatufahamiani but kuna watu nawaona kama ndugu zangu humu please not you guys! !!!!!!!!!
Please please
Hahaha...mpwa tafwazali utamfanya mimi asiende na mimi kwenye mtoko wetu wa scuba diving