Mwanzoni nilifikiri perhaps ni kwa vijana wadogo (boys) hususani wale tunawaita marioo lakini nimeshtuka pia kukumbana na hii changamoto kwa watu wa rika langu. Hapa nazungumzia change of tone pale mtu anapokua anaongea na jinsia-ke kwenye simu. Nina rafiki yangu hua tunamtania Morgan Freeman kutokana na sauti yake nzito lakini ukimkuta amejificha anaongea na simu utacheka sana kwa jinsi anavyobana pua. Nimejiuliza sana kwanini mtu akiwa na wanaume wenzake anaongea vizuri tu kiume lakini anapokua anaongea na jinsia tofauti anajaribu kubadili tone ya voice yake, is it for impression? Inferiority au kitu gani? Maana mi naamini sauti si kigezo katika kum-impress mwanamke bali ni kua real tu. Sielewi