Imegundulika kwamba.......

Imegundulika kwamba.......

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Imegundulika kwamba maskini anayeishi miongoni mwa matajiri hufa haraka kuliko masikini anayeishi miongoni mwa masikini wenzie.Mtu jana kalala njaa,anamka asubuhi unakutana na mtoto wa jirani anamwaga maini yaliyobaki jana jalalani.Unatembea kwa miguu kutoka kwako,jirani anakupita huku akikutimulia vumbi na ukicheki unaishi mitaa ya watu wazito hakuna daladala.Ukizingatia haya na ma-gap mengine mengi mtu unapata kihoro mpaka kufa.Ila mkijipanga sehemu masikini watupu,mambo mswano,hamna mnachozidiana na kama mnazidiana basi ni viji-gap vidogo vidogo tu,kiufupi mnafarijiana na kuridhika na hali zenu,inakuwa rahisi kumtuma mwanao John akaombe kiberiti kwa akina Juma na ndo maana uswazi akiingia tajiri mmoja,masikini wanasepa wenyewe bila hata kuambiwa.

Dah nimecheka hadi basi....kwa hiyo unashauri wote tuhamie uswazi?

Uchunguzi wako umeufanyia wapi na kwa muda gani?

simple! Kama unaishi dsm niambie unapanda daladala za wapi ili ufike mikocheni b, hapo masaki kwenyewe daladala moja tu, haha hah.! Hamia buguruni au mbagala!!

Mkuu! Njoo wilaya mpya Mbagala sote hali zetu zafanana ati!

Mtoto anaekulia mbagala lazima akili yake ikomae haraka kutokana na matatizo na changamoto nyingi.
weee! Ni noumer! Unaambiwa kipindi cha mabomu ya mbagala nilikuwa najiokoa hata Rambo haoni ndani kwa skills nilizojifunza. Heheheee

Mkuu Jaguar hapo umenena vyema, watu wa namna hii huteswa kwa donge na tamaa then hukosa furaha na kusononeka alwayz!

hebu fikiria kijimvua kinanyesha af jirani yako anakupita taratiiibu na gari huku anakumwagia maji!
hapo lazima ufe kwa kihoro mwanangu.....tihi tihiiiii

Inategemea na nature ya matajiri na masikini mwenyewe

Back
Top Bottom