Imebidi tu nicheke! Sio kwa ubunifu huu

ni kweli mnajikuta mnalala na watoto kisa tu baba wadogo wapo !nadhan nyingine kuwalaza sebulen itasaidia sana ila nadhan itakuwa applicable kwa baadhi ya makabila !ila sio 'wasukuma! wenyee hata kwenye zizi wako radhi walale
 
MI KWANGU HAWAJI VYUMBA VINGINE NIMEWEKA MAJENEZA MAKSUDI KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE WAKATI HUO USIGUSE HALI YANGU
⚰ ⚰ ⚰ ⚰ hapo usinikaribishe mimi... Sitahama
 
Kila jambo lina wakati wake... Japo bashite kamwambia dad is coming
Kifo kimeshatokea najua kinauma lakin tusimlaumu uyu mtoto, life goes on sema kila mtu ajifunze kwa wakati wake,... Wapo wakumsaidia wamsaidie

Jela sio sehemu nzuri, na tatizo watanzania hatujui kusamehe, tujifunze kwa hili tukio
 
Tabia za kiafrika ni kuishi pamoja kwa raha au shida
Kuna na vielements vya kutowajibika kwa baadhi ya watu, mtu anatoka kwake kijijini msimu wa kilimo, anakaa hata miezi mitatu.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…