Imebidi tu nicheke! Sio kwa ubunifu huu


Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,638
Likes
125,320
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,638 125,320 280
ni kweli mnajikuta mnalala na watoto kisa tu baba wadogo wapo !nadhan nyingine kuwalaza sebulen itasaidia sana ila nadhan itakuwa applicable kwa baadhi ya makabila !ila sio 'wasukuma! wenyee hata kwenye zizi wako radhi walale
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,638
Likes
125,320
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,638 125,320 280
MI KWANGU HAWAJI VYUMBA VINGINE NIMEWEKA MAJENEZA MAKSUDI KILA MTU APAMBANE NA HALI YAKE WAKATI HUO USIGUSE HALI YANGU
⚰ ⚰ ⚰ ⚰ hapo usinikaribishe mimi... Sitahama
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,638
Likes
125,320
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,638 125,320 280
Mwisho wa siku, riziki anagawa Mungu, ukiendekeza roho chachu maisha yatakubaki ivo ivo, japo kila kitu kifanyike kwa kiasi
Ni kwa kutoa ndio tunapokea in kila kitu kiwe na kiasi
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,638
Likes
125,320
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,638 125,320 280
mshana jr sina mpango wa kumtaja maana wengine humu watakuwa wanajua.Yule hadi sahani anazo nne tuu, yeye na mkewe na watoto wao wawili.Mgeni utalazwa gesti.
Nshamjua...
 
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2012
Messages
104,638
Likes
125,320
Points
280
Mshana Jr

Mshana Jr

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2012
104,638 125,320 280
Sahihi, ukitoa. Unapata zaidi, hata si leo kesho yako itafika


Tumombee lulu ajinasue na maswahiba yanayonwandama,
Kila jambo lina wakati wake... Japo bashite kamwambia dad is coming
 
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2016
Messages
6,430
Likes
7,769
Points
280
BIGstallion

BIGstallion

JF-Expert Member
Joined Sep 13, 2016
6,430 7,769 280
Kila jambo lina wakati wake... Japo bashite kamwambia dad is coming
Kifo kimeshatokea najua kinauma lakin tusimlaumu uyu mtoto, life goes on sema kila mtu ajifunze kwa wakati wake,... Wapo wakumsaidia wamsaidie

Jela sio sehemu nzuri, na tatizo watanzania hatujui kusamehe, tujifunze kwa hili tukio
 
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined
Dec 14, 2010
Messages
8,278
Likes
1,920
Points
280
N

Ninaweza

JF-Expert Member
Joined Dec 14, 2010
8,278 1,920 280
Tabia za kiafrika ni kuishi pamoja kwa raha au shida
Kuna na vielements vya kutowajibika kwa baadhi ya watu, mtu anatoka kwake kijijini msimu wa kilimo, anakaa hata miezi mitatu.......
 

Forum statistics

Threads 1,251,728
Members 481,857
Posts 29,781,904