Balvejmumt
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,149
- 2,784
Sahihi, ukitoa. Unapata zaidi, hata si leo kesho yako itafikaNi kwa kutoa ndio tunapokea in kila kitu kiwe na kiasi
Jamaa yenu yupo rumande sasa hahMakaburi 8 itafaa ZAIDI
Nshamjua...
Kifo kimeshatokea najua kinauma lakin tusimlaumu uyu mtoto, life goes on sema kila mtu ajifunze kwa wakati wake,... Wapo wakumsaidia wamsaidieKila jambo lina wakati wake... Japo bashite kamwambia dad is coming
Hujivinjari na nduguzeKila mchuma janga....!?
Kuna na vielements vya kutowajibika kwa baadhi ya watu, mtu anatoka kwake kijijini msimu wa kilimo, anakaa hata miezi mitatu.......Tabia za kiafrika ni kuishi pamoja kwa raha au shida