Imebidi niweke choo cha kuchuchumaa hapa kwangu

Nashauri vyoo vya kukaa ni sumu, narudia tena ni sumu kwa maendeleo ya
Si kweli hata kidogo, nilipata haemorrhoids wakati kwangu hakukuwa na choo cha kukaa: kwasasa nimeweka choo cha kukaa ndiyo relief yangu+ natumia haemorehoids ointment za china na naona zinapotea
 
Sijui wewe una umri gani ila choo cha kuchuchumaa kina mwisho wake. Hufiki chini mkuu. We subiri.
 
Ukiugua magoti au ukiwa na mtu ambaye hawezi kuchuchumaa, mfano wazee utakuwa unafanyaje mkuu.
 
Wakuu kwa miezi kama 6 hivi nimekua nasumbuliwa na haja kubwa kupelekea starehe ya maliwato kuwa kero hadi nikapata a minor haemorhoid.

Ni kosa langu najua, mfumo wa chakula changu ulibadilika, vyakula vyangu vingi napasha moto yaani fridge langu limejaa mavyakula bibie akija weekend ananipikia misosi ya week nzima mimi nafanya kupasha tuu.

Kipindi niko chuo nilikua napata shida sana vyoo vyetu vilikua vichafu sana hili liende kwa uongozi wa UDSM kule kwenye ma hall especialy hall 5, ni ma vyoo ya kukaa.

Nilianzaga pata tabu sana toka enzi hizo.

Wanasema ukifika 30s jichunge sana na unachokula, lifestyle etc. Nimesadiki hilo na pia kupitia google nmeona maoni mengi yana-suggest kuwa style ya kukaa kwenye vyoo hivi vya kukaa ina mchango mkubwa sana.

Maamuzi, juzi fundi kaja fanya yake hapa kwangu na tokea juzi nimeona mabadiliko makubwa kabisa.

Nashauri vyoo vya kukaa ni sumu, narudia tena ni sumu kwa maendeleo ya anus yako.

Wengi wanakaa kimya tatizo hili ila amini nakwambia wahanga ni wengi mnoo.

Uzi tayar
Kwani choo cha kukaa kimekufanya nini?

Mi sijaelewa
 
Si kweli hata kidogo, nilipata haemorrhoids wakati kwangu hakukuwa na choo cha kukaa: kwasasa nimeweka choo cha kukaa ndiyo relief yangu+ natumia haemorehoids ointment za china na naona zinapotea
Mkuu hizi oinment zinapatikana wapi? Na gharama zake zikoje?
 
Wakuu kwa miezi kama 6 hivi nimekua nasumbuliwa na haja kubwa kupelekea starehe ya maliwato kuwa kero hadi nikapata a minor haemorhoid.

Ni kosa langu najua, mfumo wa chakula changu ulibadilika, vyakula vyangu vingi napasha moto yaani fridge langu limejaa mavyakula bibie akija weekend ananipikia misosi ya week nzima mimi nafanya kupasha tuu.

Kipindi niko chuo nilikua napata shida sana vyoo vyetu vilikua vichafu sana hili liende kwa uongozi wa UDSM kule kwenye ma hall especialy hall 5, ni ma vyoo ya kukaa.

Nilianzaga pata tabu sana toka enzi hizo.

Wanasema ukifika 30s jichunge sana na unachokula, lifestyle etc. Nimesadiki hilo na pia kupitia google nmeona maoni mengi yana-suggest kuwa style ya kukaa kwenye vyoo hivi vya kukaa ina mchango mkubwa sana.

Maamuzi, juzi fundi kaja fanya yake hapa kwangu na tokea juzi nimeona mabadiliko makubwa kabisa.

Nashauri vyoo vya kukaa ni sumu, narudia tena ni sumu kwa maendeleo ya anus yako.

Wengi wanakaa kimya tatizo hili ila amini nakwambia wahanga ni wengi mnoo.

Uzi tayar
Mkuu I'm going through a situation now i think it might be similar hence my curiosity.

Minor haemorhoid yako ilikuaje? Nahisi pia nina minor. Ila sina ufahamu

Na uliitibu vipi?
 
Mwaka juzi nilikaa chumba ambacho choo chake ni cha kukaa
Cha ajabu me nikawa sikai. Nilikuwa napanda juu ndio nachuchumaa . Nililijua hilo mapema ndio maana ni mwendo wa kulenga shabaha nchale.
 
Kula mboga na matunda kwa wingi upate (nyuzinyuzi) fibers za kutosha acha kusingizia choo,

mzee wangu since mid 20s anatumia choo cha kukaa na sasa yupo kwenye 80 sijawah msikia analalamikia hlo tatizo
What!!!!!! Msalimie bibi
 
Ni uamuzi wa mtu awe mzungu au msukuma,frozen food ni cheap na kuna wazungu cheap vilevile ndiyo maana kansa inawasumbua sana huko uzunguni.Huwezi kuniambia mzungu au msukuma anayeipenda afya yake atapika wali ukae wiki afu aweke kwenye microwave,kama ni nyama au mboga mbichi sawa iwe frozen hata mwaka siyo umepika unaweka wiki then unapasha hata radha ni tofauti.
Ni kweli kabisa siyo vizuri kwa afya kula vyakula vinavyochacha kwa kukusaidia Kama unakaa mjini uwe unanunua Mchele supermarket ule grade 1 unakuwa ushachambuliwa kabisa au uwe unanunua ule wa kihindini upo tayari kwa kuosha na kupika hata maharage hivyo hivyo yapo tayari kwa kuosha na kupika unga wa ugali huo hauna shida na ugali kupika ni dakika tano, mboga za majani tafuta muuzaji mmoja awe anakukatia kabisa wewe ukifika nikuosha na kupika na siku hizi jiko la gesi unapika kwa haraka.
 
Wakuu kwa miezi kama 6 hivi nimekua nasumbuliwa na haja kubwa kupelekea starehe ya maliwato kuwa kero hadi nikapata a minor haemorhoid.

Ni kosa langu najua, mfumo wa chakula changu ulibadilika, vyakula vyangu vingi napasha moto yaani fridge langu limejaa mavyakula bibie akija weekend ananipikia misosi ya week nzima mimi nafanya kupasha tuu.

Kipindi niko chuo nilikua napata shida sana vyoo vyetu vilikua vichafu sana hili liende kwa uongozi wa UDSM kule kwenye ma hall especialy hall 5, ni ma vyoo ya kukaa.

Nilianzaga pata tabu sana toka enzi hizo.

Wanasema ukifika 30s jichunge sana na unachokula, lifestyle etc. Nimesadiki hilo na pia kupitia google nmeona maoni mengi yana-suggest kuwa style ya kukaa kwenye vyoo hivi vya kukaa ina mchango mkubwa sana.

Maamuzi, juzi fundi kaja fanya yake hapa kwangu na tokea juzi nimeona mabadiliko makubwa kabisa.

Nashauri vyoo vya kukaa ni sumu, narudia tena ni sumu kwa maendeleo ya anus yako.

Wengi wanakaa kimya tatizo hili ila amini nakwambia wahanga ni wengi mnoo.

Uzi tayar

Pole mkuu.
Punguza kula viporo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom