Imebidi niweke choo cha kuchuchumaa hapa kwangu

Imebidi niweke choo cha kuchuchumaa hapa kwangu

Wakuu...kwa miezi kama 6 hiv nimekua na sumbuliwa na haja kubwa kupelekea stareh ya maliwato kuwa kero...had nikapata a minor haemorhoid...

Ni kosa langu najua..mfumo wa chakula changu ulibadilka..vyakula vyangu ving napasha moto..yaan fridge langu limejaa mavyakula bibie akija weekend ananipikia misos ya week nzima mi nafanya kupasha tuu ...

Kipind niko chuo nilikua napata shida sana vyoo vyetu vilikua vichafu sana..hili liende kwa uongoz wa udsm...kule kwenye ma hall especialy hall 5....ni ma vyoo ya kukaa

Nilianzaga pata tabu sana toka enz hzo

Wanasema ukifika 30s jichunge sana na unachokula.lifestyle etc...nimesadik hilo na pia kupitia google nmeona maoni meng yanasugest kuwa style ya kukaa kwenye vyoo hiv vya kukaa ina mchango mkubwa sana

Maamuzi...juz fund kaja fanya yake hapa kwangu..na tokea juz nmeona mabadiliko makubwa kabisa

Nashaur....vyoo vya kukaa ni sumu narudia tena ni sumu kwa maendeleo ya anus yako

Weng wanakaa kimya tatzo hili ila amin nakwambia wahanga ni weng mnoo

Uzi tayar
Haujaeleza kitaalamu ni tatizo gani ulilokumbana nalo katika matumizi ya choo cha kukaa, sana sana umeishia kusema tu unus... unus, ukamaliza!

Na je Mungu asipokuua hadi umri wa 50 na kuendelea utakuja na hadithi nyingine tena ya kukifukia hicho cha kuchuchumaa na kujenga tena cha kukaa?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ungejiongeza tu wala usingemwita fundi.
Unanunua kigoda au kisturi kidogo unakata gogo miguu juu mambo kama cha kuchuchumaa
Hii idea inakuja inaondoka. Fafanua kidogo mkuu.
 
...mpaka hatua ulofikia unakimbizana na vyakula vya kupashaaa...

nahisi tatizo lako limetokana na kula vyakula vilivyochachaaa [emoji23] [emoji119]
Sijaoa mkuu ...ndo nauona unuhimu wa kuoa
 
Haujaeleza kitaalamu ni tatizo gani ulilokumbana nalo katika matumizi ya choo cha kukaa, sana sana umeishia kusema tu unus... unus, ukamaliza!

Na je Mungu asipokuua hadi umri wa 50 na kuendelea utakuja na hadithi nyingine tena ya kukifukia hicho cha kuchuchumaa na kujenga tena cha kukaa?


Sent using Jamii Forums mobile app
Muda wake ukifika ntarud kwenye kukaa
 
Ushimeni hukui tu
Mkuu, ebu rejea ulicho kuandika kabla hatuja endelea na comments zingine
IMG_20200918_135122.jpg
 
Cha msingi muwe mnajenga vyumba vya vyoo vikubwa, weka sink ya kukaa na sink ya kuchuchumaaa ndani ya choo 1.
Mim changu ni kikubwa tatzo cha kuchuchumaa hakikuepo
 
Hili tatizo la bawasiri linazidi kukua,,zamani wakiita ametojezea kinyama matakoni na ukiugua wanasema umerogwa na ni lazima utadead,,na waliugua wachache sana,
Kumbe tatizo ni kutokula vyakula vyenye nyuzi nyuzi,,kukaa sana bila mazoezi etc,
Zamani watu wakila sana ugali na mchicha etc,mambo ya sausage hayakuwepo,na kazi za kukaa mchana kutwa nyuma ya computer,au simu hazikuwepo,,siku hizi tatizo ni kubwa kwasababu maisha yanazidi kuwa mororo watu hawafanyi mazoezi na hawali vyakula stahiki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom