Imani na Tendo la Ndoa

Imani na Tendo la Ndoa

Mods wamelala usingizi kama ni wa pono basi ni yule aliyekufa!

Halafu inaonekana hii screenshot imechukuliwa kwenye wall ya status w'app hii inaonyesha ni kiasi gani kuna Watanzania wanatumia mitandao kwa ulimbukeni mkubwa sana.how uweke maneno kama haya yanayoweza kuangaliwa hata na wajomba zako na shangazi zako?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
but she has tagged nothing but the TRUTH, ama nini kinakuuma hapo mkuu
 
Preeeach!
watu wengine kazi yao ni kujifanya tu, vile unetag ni kweli kabisa, hao watu wakipata binti wa kikiristo wanakula kabila bila kujali, lakini ukiwapa vitu kaa nyama oohhh umechijwa na nani, oo aliyechicha ni muislamu au, oohhh hi oo lile,
 
hahahaha
haramu ni mdudud sio uchi kwaaoo
 
Back
Top Bottom