Imani na Tendo la Ndoa

Imani na Tendo la Ndoa

kuna mshkaji tulikuaga room moja form five kipindi hiko..jamaa ni msabato msimamo mkali,,jumamosi ni kulala deka tuu,,ila ni malaya mbaya,,kitaa alikua na madem kama wote,halafu visu kama aliyewekwa avatar ya mtoa post
 
Zinasomwa wapi mama yetu? Mana sio mtaalamu sana

Mana kunannyuzi naziandika sio kali zinafutwa lakini sasa nashangaa hii ikp wazi imeachwa kwa nini eti ?
Pole
 
kuna mshkaji tulikuaga room moja form five kipindi hiko..jamaa ni msabato msimamo mkali,,jumamosi ni kulala deka tuu,,ila ni malaya mbaya,,kitaa alikua na madem kama wote,halafu visu kama aliyewekwa avatar ya mtoa post
Awww thank you Kwa kuniita Kisi🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom