Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,201
- 17,563
- Thread starter
- #41
Hahahaha
Aaalimu Dunia
Hahahaha
Poyeeee
Lakini mkuu haina madhara
We bwana sio kila mda unakuwa serious
Kuingia kwenye website yako utanilipa?maana lazima kuna muda wangu nitaupoteza.Kama hapa tu ume-post vitu vya ajabu kama hivi huko kutakuwaje?Njoo PM nikupe website yangu ukaniangalie ujue kama me NI Me au Ke
Achana na akili yako kwa sasa inakupoteza
Nenda kwenye website utajuta kwanini ulichelewa kuifahamuKuingia kwenye website yako utanilipa?maana lazima kuna muda wangu nitaupoteza.Kama hapa tu ume-post vitu vya ajabu kama hivi huko kutakuwaje?
Sentence ya mwisho sijakuelewa ila nitaitafakari naweza labda nikaielewa,tuachane na hili naondoka kwenye uzi wako.
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Amekusikia
kuna uwezekano wa kuhide nani aone status yakoMods wamelala usingizi kama ni wa pono basi ni yule aliyekufa!
Halafu inaonekana hii screenshot imechukuliwa kwenye wall ya status w'app hii inaonyesha ni kiasi gani kuna Watanzania wanatumia mitandao kwa ulimbukeni mkubwa sana.how uweke maneno kama haya yanayoweza kuangaliwa hata na wajomba zako na shangazi zako?
Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Meona ee?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaa kawaza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Haiwezekan
Tafuta slogan mpya ya Jamii forum Ma'am Acha kuwaka kama kichaa