Imani na Tendo la Ndoa

Imani na Tendo la Ndoa

POVU VEPE
Ulichokipandisha hapa na uanaume wangu sithubutu kukitamka kwenye hadhira ya watu hata kama hawanijui wala kufikiria kujaribu ku-share mitandaoni!!

Akili inanituma aliye nyuma ya hii id ni kijana mmoja tena muhuni flani hivi aliyekosa malezi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
 
Mods wamelala usingizi kama ni wa pono basi ni yule aliyekufa!

Halafu inaonekana hii screenshot imechukuliwa kwenye wall ya status w'app hii inaonyesha ni kiasi gani kuna Watanzania wanatumia mitandao kwa ulimbukeni mkubwa sana.how uweke maneno kama haya yanayoweza kuangaliwa hata na wajomba zako na shangazi zako?

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Upuuzi wa hali ya juu hadi tunatia huruma.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ulichokipandisha hapa na uanaume wangu sithubutu kukitamka kwenye hadhira ya watu hata kama hawanijui wala kufikiria kujaribu ku-share mitandaoni!!

Akili inanituma aliye nyuma ya hii id ni kijana mmoja tena muhuni flani hivi aliyekosa malezi.

Sent from my Redmi Note 5 using Tapatalk
Njoo PM nikupe website yangu ukaniangalie ujue kama me NI Me au Ke

Achana na akili yako kwa sasa inakupoteza
 
Back
Top Bottom