.kifutio cha aina gani??? Pencil or B'board???? koz kama ni kifutio cha B'board hakiishi kiivo....beside ili kifutio kitumike we need to make mistakes in writing or running out of writing space...so watu tungekuwa careful sana such that tusingemake mistakes........................So hakuna matumizi ya Kifutio.......
Simple, tungeitumia kwa umakini kwa wanaoistahili tu...
Isitoshe, hilo suala haliwezekani. Ndo maana haikuwa hivyo!
Watu wangekuwa flaaaat!Mmmh, vingine vingekua vimeisha hata kabla ya ndoa, so ingekua ni kupumzika tu usubiri kufa!!! kweli umefikiria huna tofauti na Abunuasi!!!
Vingekuwa vinaisha kwa kuingia ndani so vyao vingeisha upesi mno... Wangebaki bapaKama ingekuwa hivyo kuisha kama raba, je wachina, wajapani, wakorea wangekuwana nini? may be nodes!
Uthithemeee aiii weweeenaenda kuwasemea kwa mwalimuuuuuuuuu........!!!!!!
Duh! wengi tungekua na mifutio mifupi sana, haijalishi tumefuta karatasi ngapi bali mara ngapi.
Umeona eh!Mh kashehe, ingesaidia sana hata watu wasingeishi kwa matumaini siku za leo.:target:
Mh kashehe, ingesaidia sana hata watu wasingeishi kwa matumaini siku za leo.:target:
Umeona eh!
Hahahaaa uuwiii Preta kama nakuona ukisema hayo maneno.. Wangekuwa na nidhamu hao acha kabisanasema....ni bora kuishi kwa matumaini kuliko wababa wawe na vifutio....
Jamani mbona mnatu-nyanyapaa wababa lakini, mimi nadhani rate ya hiki kifutio kufuta ingelikuwa labda ni twice a year ili kukifanya ki-last long.Hahahaaa uuwiii Preta kama nakuona ukisema hayo maneno.. Wangekuwa na nidhamu hao acha kabisa
Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...
Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us