Imagine wakili wa serikali ndio Lissu

Imagine wakili wa serikali ndio Lissu

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,540
Reaction score
12,781
Chukulia tu, kesi inayomkabili Lissu ingalimkabili wakili wa Serekali, angalikumbuka angalau kifungu kimoja cha sheria kichwani? Nakusudia kwamba juu ya ubobezi wa sheria alionao, angalijiamini ajitetee mwenyewe na ateme vifungu vya sheria mahakamani?
 
Lissu aliwaambia waTanzania maneno yenye kuwataka wenye mamlaka kufanya majukumu yao kikamilifu; Mh. Hakimu alijiona kama ameaibishwa sana na maneno yenye ukweli ndani yake kutoka kwa Lissu.
"Nakusomea kifungu cha sheria kinataka nini, alafu uwakubalie tena---Nanukuu kutoka kwa Mh. Lissu"
 
Back
Top Bottom