Imagination - My Encounter with Super Lady in JF

Nawakaribisha wote, wasiwe na wasiwasi siri zao za ndani nitaziifadhi kwa hali ya juu sana kama ninavyo hifadhi p***y yangu.

Kwi kwi kwi kwi vi-speedo vyote utavitunzia siri kwi kwi kwi....sijui Fidel80 yupo wapi kwi kwi kwi
 
Oook Kelly01, you are here?

Here are your Threads you Started:

Huyu Kelly01 hafai kabisa, nakumbuka alishasema huko nyuma kuwa yeye akipata nafasi kama ya RA & Co. "anafanyizia" (hili ndo neno alilotumia). Yaani anaifisadi nchi. So huyu hafai hata kidogo tutakuwa tumelamba garasa tukimpa uongozi wa juu katika nchi yetu.
 
Duuuh babu mbona uko harsh hivyo
 
Mtinange Unaendelea . . . .

Hakuna nominations au Candidates wengine?
 
We can have 2 Super Ladies number 1 & 2

1.WoS
2.MWK

Have a great weekend :)
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha. Tunaonaje kama tukianzisha Miss/Mr Jamii Forum??? Halafu kiingilio kiwe ni cha kukata na shoka, kiingilio ni flat rate 1 bilion kulingana kwamba it is a kind of riskier show/business so it must be expensive. Kwa mantiki hii, nina hakika tutavuna pesa za mafisadi kama zile za DECI maana watataka kuja kuufahamu JF Tz members!!!

Caution, baada ya onyesho itabidi JF members wabaki ndani na tukeshe maana usalama nje usiku utakuwa ni hatari!!! Najua kutakuwa na hand grenade nje zikisubiri, gari ikiondoka tu unasikia milio kama ya mbagala!! Kwisha vichwa vya JF.
 
We can have 2 Super Ladies number 1 & 2

1.WoS
2.MWK

Have a great weekend :)

And the winners is WoS
second runner up is MWK.....

Mademu wengine hapa kutwa wanashinda kwenye kuchangia tiGo's na mapenzi...wengine wanaonyesha kabisa wamezidiwa na hormone za kiume (majike dumez).

Binafsi ingawa bado mgeni michango ya WOS na MWK imeenda shule....umri wao sijui na hata sura zao siwezi hata imagine.

Mi
 
Acha ku-hate...kila mtu anafanya ile roho napenda..kama mtu anapenda kuchangia kuhusu mapenzi ni yeye huwezi kum-judge na kudhani kuwa siyo smart...yaani nyie mnadhani kuchangia politics ndiyo kuwa smart?...that is so rudiculous na inaonyesha jinsi gani watu mlivyo na ufinyu wa kufikiria....

to all my ladies mnaochangia hoja za mapenzi wala msife moyo na hawa watu wanao underetimate you!...all you need to do follow your heart.....
 
Wabongo kwa kuvishana vilemba vya ukoka na nishani hewa hatujambo. Ila tuendee hivihivi kujifariji samtaim sio mbaya sana.
 
Back
Top Bottom