Imagination juu ya masupastaa wa JF

Imagination juu ya masupastaa wa JF

umeanza maangaiko?achana na keren ni wa kimey
yani hapa naanza kuimagine hivi fainest yukoje vile???????

huyu ndugu yangu kaanza ukabaila lini Wiselady? no wonder najikuta napata kikohozi kohozi juu yako....
 
Lakini ni kitu kizuri kuwa underground kama mimi hapa maana kuwa kwenye limelight kila saa matokeo yake ndo haya watu wanakumagine....:decision:
 
Mi nakaribia kufa sasa my dear..ndo nini lakini njoo huku unitoe haya mafua yasoisha:mwaaah::mwaaah::mwaaah:

Pole love,hayo mafua hayo!!!!fanya tupande mlimani hapo hapana upako:busu
 
Komredi, The Finest kadaka chetuntu, Heren K, Husninyo, Maty, Lizzy, na WiseLady
CPU kadaka eksitensheni kebo

Huyo hapo kwenye red...ni nani?? Inaonekana sijapata bahati ya kukutana naye humu kwa JF....!!!
 
Wengine avatar zao zinaelezea namna walivyo!
 
Back
Top Bottom