Imagination juu ya masupastaa wa JF

Imagination juu ya masupastaa wa JF

mKJJ-.... . ..mWEMBABA sana na mreeefu(dizaini ya kupulizwa na upepo).hana hobby na familia!
Asprin... .....Mfupi kama Gen. Shim^bo, na ana mwanya, sigara mdomoni 24hrs!
The Finest.. .Kitambi kama nyumba, , na anafuga minywele mingi,...hachomekei mashati.

Wanawake huwa siwezi kuwakadiria kabsaa!....sababu ni kwamba wana uwezo wa kujibadilisha maumbo!.....huh!

Hommie hiyo kitu ni nini unayo?
 
Hommie naona umeibuka na zilipendwa LOL

PJ naona alikuwa ana mpango wa kunizibia rizki ya ku do the needful..... alishindwa lakini.

hasa kipindi hiki, ni hatari kabisa

zlipendwa muhimu maana naona kule 'kumechafuka' tayari tena....nadhani kuna haja Ocampo aje pale...
 
Hahahaha..... pepo la mapovu lahamia chit chat..... hebu amsha klorokwini akaokoe jahazi......
 
kaizer... ya nini kwenda kufukua maiti aisee??

kuna mtu alikua anamfananisha finest na Mr. Nice sehemu wacha nivunje mbavu (tena kama sikosei jamaa anaitwa el nino, sijui kafia wapi siku hizi alikua mzuri sana kule kwa kimbweka)
 
hapa ni stress free....maiti hana stress kiviiile....umeona kule kwa FF? LOL

Nadhani kumfannanisha TF na Mr Nice bado ina hold tu.....hahah
 
kule nimetimuliwa na Gaijin kama mwizi mwinzi, sirudi kule maana ntatolewa macho na kibarua chenyewe FF anaweza kukimwagia dizeli anytime.......... ngoja tuwaachie lao hilo, sie tile tinywe, tikorome tu
 
kaizer... ya nini kwenda kufukua maiti aisee??

kuna mtu alikua anamfananisha finest na Mr. Nice sehemu wacha nivunje mbavu (tena kama sikosei jamaa anaitwa el nino, sijui kafia wapi siku hizi alikua mzuri sana kule kwa kimbweka)
MTM na klorokwini huwa nawafananisha na Paul Kagame...
 
Wewe nae, toka lini SHAROBARO akawa mfupi, mnene, mweusi tiiiii! Au Asprin ameanza kupaka caro light?
:shock::shock:
kaizer... ya nini kwenda kufukua maiti aisee??

kuna mtu alikua anamfananisha finest na Mr. Nice sehemu wacha nivunje mbavu (tena kama sikosei jamaa anaitwa el nino, sijui kafia wapi siku hizi alikua mzuri sana kule kwa kimbweka)
Aisee cousin CV yangu mtaani watu wameishaichafua sana
hapa ni stress free....maiti hana stress kiviiile....umeona kule kwa FF? LOL

Nadhani kumfannanisha TF na Mr Nice bado ina hold tu.....hahah
Ebooooo!!!
 
MTM na klorokwini huwa nawafananisha na Paul Kagame...

yalaaaaaaaaaaaa.... itakua sababu ya ubishi tu mazee.... mie nimefanana boyz II men aisee (ingawa kibongobongo watasema nimefanana na rashid kawawa), kloro kafanana sana na Wakuvanga
 
Back
Top Bottom