sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,967
- 8,498
Basi ngoja nikupe mji,.... Mwanza patakufaa kwa msimu huu wa sikukuu!...hakunaga kama mimi
Basi ngoja nikupe mji,.... Mwanza patakufaa kwa msimu huu wa sikukuu!...hakunaga kama mimi
lizzy,mdada flan an weupe wa kirangi..yaani weupe mpauko
lizzy,mdada flan an weupe wa kirangi..yaani weupe mpauko
Lol.... Ndio mana I LOVE YOU kila, sekunde, kila dakika, na kila saa ipitayo kwenye maisha yangu... Watajiju wenye wivu wao!
halafu.....
Aisee hommie ndo ulivotumwa na chama? kulipia ukumbi kwa masaa? hii imetudhalilisha sana tutake radhi....
:lol:
hapa kuna harufu ya rushwa...lazima...
lol....hivi kumbe chama kilimpa ODM pesa za kulipia ukumbi siku nzima eeh?...amevunja sheria hivyo itabidi kumshtaki kufuatana na kifungu cha 12 cha katiba ya chama.....
Kaizer siku ingine ODM akiandaa mkutano ntaomba uje ulipie ukumbi mwenyewe afu unikabidhi risiti nikae nayo..
Hommiepopote pale ulipo: Kikombe alichonipa baba, sitakinywa?