Imagination juu ya masupastaa wa JF

Imagination juu ya masupastaa wa JF

Jf ina memba wengi lakini wapo baadhi ambao kutokana na nature ya michango yao wametokea kuwa masupastaa. Fikiria watu kama M.Mkjj, Asprin, Finest, Maria Roza na wengine. Hivi kwenye maind yako ulishawah kuimajin hawa supastaa wakoje? Kwa mfano mi ninavyomuimajin Lizzy: kuwa ni mdada mrefu hivi, ana kaufiga, mweupe, anavaa miwani myeus na anapenda kuvaa suruali za kubana. Alaf namuimajin Rose1980 kama mdada flan hv mwongeaji sana na mbish, alaf atakuwa mrembo fulan mwenye figa ya ki-modo. Yani kuna wakati nikikatiza town namuona mtu alaf maind yangu inajiconvince namuona FirstLady1. Hata ivo I wish nisiwaone hawa watu isije wakawa tofauti sana na ninavyowaimajin... lol.

lengo lako ni kuimagin wana jf ambao ni wanawake!! Tuna akili mkuu so next tym u better opt 4 another thing.
 
:A S 13: yani kwa imaginations, naweza kusema mara zote nilivyokua nawafikiria wana JF nilikosea.... our words and avatar mara nyingi zimekua what we dream to be but not what/who and how we are
 
:A S 13: yani kwa imaginations, naweza kusema mara zote nilivyokua nawafikiria wana JF nilikosea.... our words and avatar mara nyingi zimekua what we dream to be but not what/who and how we are

Exactly
 
Komredi, The Finest kadaka chetuntu, Heren K, Husninyo, Maty, Lizzy, na WiseLady
CPU kadaka eksitensheni kebo
Hahaha we nid plan b komredi digididi TF hawezi kamata zote ye sio babu! Ivi wamempendea hicho kitambi chake?
 
Hahaha we nid plan b komredi digididi TF hawezi kamata zote ye sio babu! Ivi wamempendea hicho kitambi chake?

Jamaa sijui anatumia ndumba?!
Nirijarubu WL, nikalambwa kofi, kwa Heren nikaishia kunawa tu, kwa Lizzy ndo nikapewa kavukavu za uso, Husninyo ndo kabisaa hata PM hajibu, chetuntu akaishia kunipa HAI tu, kidogo kwa Maty nilipata matumaini lakin waaaaapi . . .
Yaani kweli nimeamini mimi ni EKSITENSHEN KEBO kama alivyonitunga Teamo
 
Huwa namuimagine kishongo kama yule mwarabu al adawi wa Dowans na kanzu na barghashia yake
 
mm ninavyomuimgine FL1 siwez hata kusema natamani sana nikutane naye siku moja.
 
Me huwa namuimagine Kimey ni mkaka mfupi, mnene surual za kitambaa, anapenda kitimoto na biere . Michelle ni kadada kadogo dogo ,mweusi .

nimekupa thanks kubwa kwa kunipatia kabisa.....wewe Chetuntu isisje kuwa unanijua dear?
 
Nakusubiria nje hapa tuonane l.o.l

aisee nimetoka hapo nje nimemuona mtu anazinga la kitambi na upara. Amevaa mabuti kama mgambo.
Sijui ndio ulikuwa wewe. Ngoja nijipange tena aisee.
 
aisee nimetoka hapo nje nimemuona mtu anazinga la kitambi na upara. Amevaa mabuti kama mgambo.
Sijui ndio ulikuwa wewe. Ngoja nijipange tena aisee.

hahaha ndo yeye,,,mi nilisema mapema naogopa kumuona nenda kajipange upya mwaya
 
Back
Top Bottom