Imagination juu ya masupastaa wa JF

Mimi huwa na imagination na BABU ASPRIN kuwa ni cha POMBE sana!!!
Imagination ya kwangu yenyewe huwa siipatii pcha! ngoja nikajiluk kwenye kioo!!!
 
Mi hapa sisemi kitu maana nimeshawahi kumuona Aspirin, so siwezi kuwa na imagination tena
 
Me huwa namuimagine Kimey ni mkaka mfupi, mnene surual za kitambaa, anapenda kitimoto na biere . Michelle ni kadada kadogo dogo ,mweusi .
 
Hahaha we chetuntu wewe? Haya bana! Mi sitii neno!
 
Komredi hebu nipe muktasari hapa nani kadakwa nani bado tu du ze nidiful

Komredi, The Finest kadaka chetuntu, Heren K, Husninyo, Maty, Lizzy, na WiseLady
CPU kadaka eksitensheni kebo
 
Back
Top Bottom